Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

Ndugai kinachomponza haeleweki yupo kundi gani:
• Sukuma Gang hayupo
• Msoga Gang hayupo
• Makunduchi Gang hayupo
• Kwa wananchi nako hayupo

Yaani hayupo kokote na yupo kote, ndiyo maana hana mtetezi.
Mwishoni na bungeni mtasema hayupo..😂
 
Hana washirika.
• Sukuma Gang siyo washirika wake
• Msoga Gang siyo washirika wake
• Makunduchi Gang siyo washirika wake pia

Kuna maadui na washirika. Wewe ni shabiki au mpenzi mtazamaji?
 
Mwishoni na bungeni mtasema hayupo..😂

Kwenye vita hivi hatuwezi kuwa upande wa maadui zake wala kuwa wapenzi watazamaji tukiwa mkao wa kula.
 
Wanaeleweka walio dhidi ya Ndugai.

"Nani ni maadui wa Mh. Ndugai? Hao wanaonekana na labda hata kujulikana ni kwa nini."

Kwa hakika kuwa shabiki uliye mkao wa kula ni kuchagua kuwa bogus!
Hapa Ndugai asulubiwe kwanza Kisha wengine wachukue hoja yake ndipo tuendelee
 
Hapa Ndugai asulubiwe kwanza Kisha wengine wachukue hoja yake ndipo tuendelee

Siasa ni dhidi ya hoja si watu. Siasa itatupa katiba mpya.

Dhidi ya watu inaitwa chuki binafsi. Chuki binafsi itatupa nini?
 
Siasa ni dhidi ya hoja si watu. Siasa itatupa katiba mpya.

Dhidi ya watu inaitwa chuki binafsi. Chuki binafsi itatupa nini?
Siasa safi haiwezi kuambatana watu wachafu mabaradhuri. Ndiyo maana hata tunapomchagua kiongozi mbali na hoja sale pia tunaangalia uadilifu wake.

Kwa maana hiyo kwa sasa Ndugai hafai kubebeshwa hoja safi kwa yeye ananuka maovu mengi na hii siyo chuki aliyoyatendo maovu yako wazi.

Hoja yake tutawabebesha wenye "uhalali" wa kuitetea. Yaye apambane na uovu alioutenda unaomrudia.
 
Yaonesha unapendekeza tujikite zaidi kwenye chuki binafsi kwanza ya hoja baadaye.

Hiiiiii bagosha!

Ukweli mchungu:

Sakata la Ndugai likifika mwisho fairly tutegemee:

1. Utawala na mihimili yenye uhuru kamili
2. Watawala kuwapo madarakani kwa ridhaa ya wananchi
3. Watawala kuwajibika kwa wananchi
4. Kuzaliwa kwa katiba mpya ya wananchi.
5. Kuzaliwa kwa Tanzania mpya.

Vita vitakwisha fairly si kwa hisani bali kwa kupiganwa haswa. Vita hivi anapigana Ndugai peke yake?

Wako wapi washirika?

Au tumechagua kuwa mashabiki (wapenzi watazamaji) tukiwa mkao wa kula?

What a shame?
 
Ndugai hana vita anavyopigana, unapigana vita gani wakati hata raondi moja ujamaliza umeshaomba mwamuzi arushe taulo yaani umeshakiri kuzidiwa na kuomba poo..!!

Nani aliwaambia kwamba ccm kuna wapiganaji, wapiganaji wa ukweli ktk nchi hii wako Chadema tu, huko kwingine kote ni wachumia tumbo tu na ndio hao akina Ndugai ambao hata kabla rais hajaongea wameshakunja mikia. Bure kabisa.
 
ndagai siku zote mshahara wa dhambi ni mauti
Pamoja na kujua wewe ni mdhaifu kichwani, kiutawala na hekima hukujaaliwa ungepunguza kuongea hovyo!
Ndugai umeumiza wengi na kujeruhi mioyo ya wengi mno!
Dr chilongani ulitaka kumuua kwa fimbo!
Ulimdhalilisha sana Lissu pamoja na majereha, maumivu na kilema chake alichopata ulimdhihaki sana!
Ulimdhalilisha sana Mbowe Bungeni!
Ulitoa siri za Lema Bungeni na kumdhalilisha sana!
Ulimdhalilisha sana sana sana CAG Assad kwa ulimbukeni wako!
It is your time to enjoy them back
 
Ndugai hana vita anavyopigana, unapigana vita gani wakati hata raondi moja ujamaliza umeshaomba mwamuzi arushe taulo yaani umeshakiri kuzidiwa na kuomba poo..!!

Nani aliwaambia kwamba ccm kuna wapiganaji, wapiganaji wa ukweli ktk

Magwiji kama kina Mahatma Gandhi hawakubaliani nawe:

IMG_20220105_143355_470.jpg
 
Back
Top Bottom