Mwishoni na bungeni mtasema hayupo..😂Ndugai kinachomponza haeleweki yupo kundi gani:
• Sukuma Gang hayupo
• Msoga Gang hayupo
• Makunduchi Gang hayupo
• Kwa wananchi nako hayupo
Yaani hayupo kokote na yupo kote, ndiyo maana hana mtetezi.
Hana washirika.
• Sukuma Gang siyo washirika wake
• Msoga Gang siyo washirika wake
• Makunduchi Gang siyo washirika wake pia
Mwishoni na bungeni mtasema hayupo..😂
Mtazamaji.Kuna maadui na washirika. Wewe ni shabiki au mpenzi mtazamaji?
Mtazamaji.
Hapa Ndugai asulubiwe kwanza Kisha wengine wachukue hoja yake ndipo tuendeleeWanaeleweka walio dhidi ya Ndugai.
"Nani ni maadui wa Mh. Ndugai? Hao wanaonekana na labda hata kujulikana ni kwa nini."
Kwa hakika kuwa shabiki uliye mkao wa kula ni kuchagua kuwa bogus!
Hapa Ndugai asulubiwe kwanza Kisha wengine wachukue hoja yake ndipo tuendelee
Siasa safi haiwezi kuambatana watu wachafu mabaradhuri. Ndiyo maana hata tunapomchagua kiongozi mbali na hoja sale pia tunaangalia uadilifu wake.Siasa ni dhidi ya hoja si watu. Siasa itatupa katiba mpya.
Dhidi ya watu inaitwa chuki binafsi. Chuki binafsi itatupa nini?
Siasa safi haiwezi kuambatana watu wachafu mabaradhuri. Ndiyo maana hata tunapomchagua kiongozi mbali na hoja sale pia tunaangalia uadilifu wake.
Kwa maana hiyo kwa sasa Ndugai hafai kubebeshwa hoja safi kwa yeye ananuka maovu mengi na hii siyo chuki aliyoyatendo maovu yako wazi.
Hoja yake tutawabebesha wenye "uhalali" wa kuitetea. Yaye apambane na uovu alioutenda unaomrudia.
Ndugai hana vita anavyopigana, unapigana vita gani wakati hata raondi moja ujamaliza umeshaomba mwamuzi arushe taulo yaani umeshakiri kuzidiwa na kuomba poo..!!Yaonesha unapendekeza tujikite zaidi kwenye chuki binafsi kwanza ya hoja baadaye.
Hiiiiii bagosha!
Ukweli mchungu:
Sakata la Ndugai likifika mwisho fairly tutegemee:
1. Utawala na mihimili yenye uhuru kamili
2. Watawala kuwapo madarakani kwa ridhaa ya wananchi
3. Watawala kuwajibika kwa wananchi
4. Kuzaliwa kwa katiba mpya ya wananchi.
5. Kuzaliwa kwa Tanzania mpya.
Vita vitakwisha fairly si kwa hisani bali kwa kupiganwa haswa. Vita hivi anapigana Ndugai peke yake?
Wako wapi washirika?
Au tumechagua kuwa mashabiki (wapenzi watazamaji) tukiwa mkao wa kula?
What a shame?
Ndugai hana vita anavyopigana, unapigana vita gani wakati hata raondi moja ujamaliza umeshaomba mwamuzi arushe taulo yaani umeshakiri kuzidiwa na kuomba poo..!!
Nani aliwaambia kwamba ccm kuna wapiganaji, wapiganaji wa ukweli ktk