Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Ndio maana unaambiwa kuwa huu mkanda una mashaka naona unakomaa kama vile ulimshikia baba Jose aweke[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wakati huyo mama wa gengeni anatoa maelezo, aliulizwa yeye Esther, baba jose ni nani alisema ni msamaria mwema kwake, na km ni tofautii na maelezo ya yule mama wa gengeni kwann hakukanaa??

Haya tunarudi pale pale baaada ya kubakwa alichukua hatua zipi za kufuata? Ila kutorokea nje kusiko julikana ndo aliweza?

Alishindwa kwenda kwenye uongozi wa shule kuogopa, vipi kurudi kwao kwa wazazi kusema?? Ila huko mtaani aliko kaa muda wote huo na mduku wake kichwani ndo aliwezaa sanaa eeh??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo ester anaonekana hata bangi anavuta. Je kama yeye ndio alimtongoza mwalimu jimmy na mwalimu akamgomea saiv analipiza kisasi? Tuliosoma boarding shule za wasichana tunajua vile wanafunzi wengine shobo zinavyokua kwa walimu wa kiume.
Wazaz wanajidhalilisha wao na binti yao.
 
Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii.

Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester.

Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza polisi wantafute kwa haraka ili apatikane.

Jambo hili lilizua gumzo kubwa na hisia kali katika jamii.

Katika kupotea kwake Ester, inasemekana aliacha ujumbe usemao " mjihadhari na mwl Jimmy"

Jamii ilijiuliza kwanini Jimmy?

Baada ya agizo la Waziri mkuu, mtoto alipatikana kwa haraka sana, ikadaiwa alikuwa kwa muuza mkaa kwa jina baba Jose akishirikiana na mama muuza genge, mara fundi cherehani...mkanganyiko.

Wote tulishuhudia Ester akihojiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa na alirudia kumtaja Jimmy kuwa ashughukiwe bila ya kufunguka zaidi.

Leo tena kwenye vyombo vya habari, nimeshtushwa mnoo kumsikiliza Ester akihojiwa na ameelezaza kuwa;

1. Mwl Jimmy aliingia bwenini akisaka wanafunzi waliochewa kutoka bwenini.
2. Alimkuta Ester ametoka kuoga na akiwa na kanga moja
3. Akampiga kuwa kwanini amechelewa kuwahi darasani
4. Akamsukumiza kitandani, akamziba mdomo na shuka na KUMWINGILIA KIMWILI

WAZAZI/WALEZI WA ESTER
1. Wamelalamika kuwa mtoto alipopatikana mazingira yalitia shaka
2. Pamoja na mashaka viongozi waliwazuia kuongea tofauti na MAELEKEZO waliopewa
3. Sasa wanaomba haki itendeke kwani ukweli ulifichwa.

MASWALI YANGU KWA MKUU WA MKOA NA RPC
1. Kwanini mlificha ukweli wa jambo hili?
2. Kwanini mkuu wa mkoa alikuwa soft sana alipoiongelea shule ya Panda hill na zaidi akiwamwagia sifa?

3. Hii shule ya Panda hill ni ya kigogo gani serikalini?

HITIMISHO
Mazingira ya kupotea na kupatikana kwa Ester yalizua maswali mengi sana ( HUENDA HATA JINA BABA JOSE NI MAELEKEZO TU).

1. Alitorokaje shuleni wakati kuna geti na ukuta mrefu?

2. Kwanini alimtaja Jimmy?

3. Polisi na mkuu wa mkoa walishindwa nini kumwita Jimmy ahojiwe mbele ya mtoto majibu sahihi yapatikane?
4. Ni lini mtuhumiwa kama huyo hakuchukuliwa hatua za haraka bali waliamua kumfuata kwa muda wao?

4. Kwanini mkuu wa mkoa hakujitokeza tena kuliambia taifa undani wa sakata hilo badala yake Pandahill schooll ndio walipewa nafasi ya kutoa taarifa?

SAKATA HILI LINA VIASHIRIA VYA RUSHWA.

ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.

Katika maisha yangu kamwe huwezi kumdhalilisha mtoti na mwanamke mbele yangu nikavumilia...sasa awe binti yangu dunia yote ingeiona gharabu yangu.

Kwa mazingira haya Mkuu wa Mkoa na RPC mbeya:
1. Mmewakosea sana watoto wa kike kwa kutokumpa Ester haki yake.

2. Mmewakosea wazazi wote.

3. Mmelikosea na kulikosesha taifa la Tanzania.

ACHIENI NGAZI HARAKAView attachment 2675028
Mwalimu Jimmy ahojiwe, boarding wana pelekwa watoto wakajifunze kujitegemea na pia wazazi wanakua Hawana muda na watoto, jukumu la walimu shuleni ni kuwa wazazi wa pili na sio ku create psychological torture kwa watoto mpaka wanawaza mambo mengine nje ya masomo, Mwalimu jimmy katajwa hakuna kumuachia kisa mtoto amekutwa kwa baba Jose, inawezekana torture za mwalimu jimmy ndizo zilizomfanya mtoto kwenda kwa baba jose, achunguzwe asiwafanye watoto wengine wakakimbilia kwa baba jose wengine, kuna walimu wanafanya life unbearable kwa watoto wa wenzao, ndio Huyo Jimmy. Security ya hio shule ina walakini inaelekea walinzi ukiongea nao au ukiwalipa kidogo wanakufungulua Geti, shule I review security measures inawezekana watoto wanajiachia huko Mjini sababu ya walinzi
 
Kazi ya mwalimu ni kubadili tabia.
Mliosoma shule za magari ya njano mmeanza kufahamika,

Mwalimu ni mlezi namba 2 baada ya mzazi ,wewe unadhani ni rahisi kuishi na mwanafunzi aina ya Esther.. mwanafunzi yoyote bila kudili na tabia yake huwezi kumfundisha ndio maana shuleni Kuna idara ya malezi na nidhamu.
 
Mwalimu Jimmy ahojiwe, boarding wana pelekwa watoto wakajifunze kujitegemea na pia wazazi wanakua Hawana muda na watoto, jukumu la walimu shuleni ni kuwa wazazi wa pili na sio ku create psychological torture kwa watoto mpaka wanawaza mambo mengine nje ya masomo, Mwalimu jimmy katajwa hakuna kumuachia kisa mtoto amekutwa kwa baba Jose, inawezekana torture za mwalimu jimmy ndizo zilizomfanya mtoto kwenda kwa baba jose, achunguzwe asiwafanye watoto wengine wakakimbilia kwa baba jose wengine, kuna walimu wanafanya life unbearable kwa watoto wa wenzao, ndio Huyo Jimmy. Security ya hio shule ina walakini inaelekea walinzi ukiongea nao au ukiwalipa kidogo wanakufungulua Geti, shule I review security measures inawezekana watoto wanajiachia huko Mjini sababu ya walinzi
Nimepitia koment zote.
Wewe ndiye mwanamke pekee unajielewa, bila shaka unaishi nje ya mipaka ya Tanzania.

Kuna komenti za wanawake wengine humu ni kichefuchefu utafikiri hawana uke wala uzazi
 
Sasa siku 35 zote huyo binti alikuwa wapi, na nani na anafanya nini? Kwa nini hakurudi kwao au kwenda Kwa Mkuu wa shule au Polisi? Au kuwasimulia wenzake? Au dada Mkuu wa Shule au Matron?

90% inawezekana ticha Jimmy alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na huyo binti.

Na walibwagana binti akapanic akatoroka shule hivyo hiyo ya kusema kabakwa ni katika kulipiza kisasi Kwa Ex wake.

Si rahisi binti wa A level kubakwa na akakaa kimya. Na hiyo shule si ina O level.

Halafu anakuja kusema alibakwa baada ya mwezi. Kuna uwalakini hapo

Kwa hali ya kawaida kama huyo ticha alikuwa na tabia ya ubakaji lazima amefanyia wanafunzi wengi hivyo ngoja tusubiri kama tutapata ushuhuda kutoka kwa wanafunzi wengine.

Kama hakuna wengine lazima hao wawili walikuwa na mahusiano ya kimapenzi.

Hapo kuna mtu anataka kuangushiwa jumba bovu.

Tusubiri uchunguzi ufanyike kila mmoja anaweza kuwa na kosa katika nafasi yake.

Tusiamini upanda mmoja.
 
Rikboy
Uzi wako unawachangiaji wengi kuliko uzi wowote jf.
Uzi umetazamwa zaidi kuliko uzi wowote yaani watu 45k
Umevunja rekodi kabisa.

Hii maana yake watu wanapenda sana ngono tena zisizo salama na bila kujali umemla nani.

Mwanafunzi kumla mwalimu unaona ni sawa!!!!
Kwrli!!!!
rikiboy umenivunja moyo sana mkui
Mwanafunzi kamlaa mwalimu alafu analalamikaaa mkuu..
 
episode 4 inafata mzigo ndo kwanza wa moto.
watazamaji wakibaki na maswali Kama yote baada ya episode 3 Ester kudai kubakwa na mwalim Jimmy ..

swali kubwa kwa watazamaji wa season hii je kwanini mwanafunzi huyu baada ya kubakwa Kama anavyodai hakutoa taharifa kwa uongozi washule,polisi au kurudi nyumbani kueleza yaliyomkuta lakini alitoroka shule na kwenda pasipojulikana hadi kusababisha taharuki?.

Lakini uyu baba Jose muuza mkaa ndo Nani?..

na ebu jaribu kuvaa viatu vya mwalimu Jimmy hali aliyonayo kwa sasa hasa baada ya mwanafunzi uyu Ester kudai alimbakwa na mwalimu huyu ....

usikose epsode inayofata
 
na kama alibakwa bwenini uongozi wa shule si upo? kwanini atoroke/kupotea maeneo ya shule na kuhifadhiwa na watu wengine nje ya shule bila kuripoti kwa polisi ama ngazi za serekali sehemu husika?. Kuna harufu ya kitu kisicho cha kawaida ndani ya hili jambo
Dogo anataka kumpakaza mimavi aliyoihalisha2 ticha ili wanuke wote
 
Sasa siku 35 zote huyo binti alikuwa wapi, na nani na anafanya nini? Kwa nini hakurudi kwao au kwenda Kwa Mkuu wa shule au Polisi? Au kuwasimulia wenzake? Au dada Mkuu wa Shule au Matron?

90% inawezekana ticha Jimmy alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na huyo binti.

Na walibwagana binti akapanic akatoroka shule hivyo hiyo ya kusema kabakwa ni katika kulipiza kisasi Kwa Ex wake.

Si rahisi binti wa A level kubakwa na akakaa kimya. Na hiyo shule si ina O level.

Halafu anakuja kusema alibakwa baada ya mwezi. Kuna uwalakini hapo

Kwa hali ya kawaida kama huyo ticha alikuwa na tabia ya ubakaji lazima amefanyia wanafunzi wengi hivyo ngoja tusubiri kama tutapata ushuhuda kutoka kwa wanafunzi wengine.

Kama hakuna wengine lazima hao wawili walikuwa na mahusiano ya kimapenzi.

Hapo kuna mtu anataka kuangushiwa jumba bovu.

Tusubiri uchunguzi ufanyike kila mmoja anaweza kuwa na kosa katika nafasi yake.

Tusiamini upanda mmoja.
Soma maelezo haya na utoe mtazamo wako
Screenshot_20230701-165359_Instagram.jpg
 
episode 4 inafata mzigo ndo kwanza wa moto.
watazamaji wakibaki na maswali Kama yote baada ya episode 3 Ester kudai kubakwa na mwalim Jimmy ..

swali kubwa kwa watazamaji wa season hii je kwanini mwanafunzi huyu baada ya kubakwa Kama anavyodai hakutoa taharifa kwa uongozi washule,polisi au kurudi nyumbani kueleza yaliyomkuta lakini alitoroka shule na kwenda pasipojulikana hadi kusababisha taharuki?.

Lakini uyu baba Jose muuza mkaa ndo Nani?..

na ebu jaribu kuvaa viatu vya mwalimu Jimmy hali aliyonayo kwa sasa hasa baada ya mwanafunzi uyu Ester kudai alimbakwa na mwalimu huyu ....

usikose epsode inayofata
Naombaa radhi ila WAZAZI WA HUYU MTOTO hasa BABA NI MATWAKOOO NA HAWAJITAMBUII... baada ya ile skonde hawakupaswa leo kumruhusuu huyu mtoto kuanza kujustify ungesee aliofanyaaaaa na umalayaa wakeeee kwa kumpaka matope mwalimu jimmy. Nia aibuu sana aisee huyu mzee hajitambui labda sababu yule ni mama wa kamboo ila ni familia ya kipuuzi sanaa. Watu tulishamsahau huyu malayaaaa analeta ufalaa tena
 
Mwalimu Jimmy ahojiwe, boarding wana pelekwa watoto wakajifunze kujitegemea na pia wazazi wanakua Hawana muda na watoto, jukumu la walimu shuleni ni kuwa wazazi wa pili na sio ku create psychological torture kwa watoto mpaka wanawaza mambo mengine nje ya masomo, Mwalimu jimmy katajwa hakuna kumuachia kisa mtoto amekutwa kwa baba Jose, inawezekana torture za mwalimu jimmy ndizo zilizomfanya mtoto kwenda kwa baba jose, achunguzwe asiwafanye watoto wengine wakakimbilia kwa baba jose wengine, kuna walimu wanafanya life unbearable kwa watoto wa wenzao, ndio Huyo Jimmy. Security ya hio shule ina walakini inaelekea walinzi ukiongea nao au ukiwalipa kidogo wanakufungulua Geti, shule I review security measures inawezekana watoto wanajiachia huko Mjini sababu ya walinzi
 
Attachments

  • Screenshot_20230701-165359_Instagram.jpg
    Screenshot_20230701-165359_Instagram.jpg
    310.1 KB · Views: 2
Nimepitia koment zote.
Wewe ndiye mwanamke pekee unajielewa, bila shaka unaishi nje ya mipaka ya Tanzania.

Kuna komenti za wanawake wengine humu ni kichefuchefu utafikiri hawana uke wala uzazi
Mimi siwalaumu, wamejisahau tu…. Kumjudge mtoto kijana anayestruggle to find her own identity ni ujinga, kunyoa kiduku wewe ulifanya mangapi ulivyokua her age?! Inawezekana baba jose alikua mpenzi wake hii haiondoi ukweli Mwalimu Jimmy pia inawezekana ni mnyanyasaji/rapist
 
Back
Top Bottom