Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Daah mkuu, umewahi kumuina baba Jose kwa picha?
Baba Jose ni mzuka, hakuna kitu kama hicho, ni script.. tu, wazazi wameongea wazi walioewa maelekezo waongee nini na waache nini, means ukeli ulifichwa kwa makusdi ndio maana wanataka haki itendeke
Haya tuambie alienda wapi baada ya kutoroka shule?
 
Ulisemalo ni kweli kwa maelezo ya awali ya wazazi wa Ester alikutwa na kitabu cha majibu kwenye mtihani aliponyanganywa hicho kitabu na kupewa karatasi nyingine kuanza upya vitimbi vilianzia hapo.
 
Miaka 18, form five unabakwa bwenini halafu unaendelea na masomo hadi kesho yake, unasingiziwa kuingia na nondo unatandikwa bakora za kutosha. Unatoroka shule siku 38 huonekani.
Ina maana hata akili ya kuripoti nyumbani hakuwa nayo?
 
Je, bint alikwenda ku report kwa dada mkuu? Matron Je? Kwa mama yake je?
Kama ni kweli ameyasema hayo, basi ameelekezwa na mama yake. Ila ongea ya yule mama at first it was obvious kuwa kuna kitu alikua akikitarajia kutoka kwa bint yake, hivyo hizi simulizi ni cover story kwa familia.
Huyo bint ni mkubwa sana kutokewa na hayo yote halafu aishie kukimbilia kwingine na isiwe kwao.
 
Nenda kawasaidie kutoa ushahidi polisi ili tuujie vizuri umalaya wa Esther.
 
Yaani ubakwe afu uende kwenye mitihani afu ndo ukimbie shule
Usiende polisi bali kwa mwanaume ambaye anakupeleka kwa mtu
 
Ngekuwa baba wa Binti nngenda kujichukulia mahali yangu Kwa baba jose
 
Toto halina akili, form five hajui haki zake
 
Yaani ubakwe afu uende kwenye mitihani afu ndo ukimbie shule
Usiende polisi bali kwa mwanaume ambaye anakupeleka kwa mtu
Mother kamtengenezea bint yake cover story to save their faces, not knowing ndiyo wanazidi kujivua nguo. Kwa kutunga uongo wa aina hiyo inadhihirisha hiyo familia ni ya aina ya matukio ya hivyo ila kwa hiari.
 
Exactly [emoji817]
 
Hili ulilolinena naliona pia. Walimu wanaitwa wanoko, ni wale wanaosimamia ipasavyo utaratibu na Sheria za shule. Wale Huwa wanaifanya shule iwe kwenye mstari sahihi at the expense of laizer fair teachers. Maua Kwa mwamba Mwal. Jimmy

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Walimu wengi wanaijidai wanoko na wataalam wa kurekebisha nidhamu shuleni ndio wanaongoza kwa umalaya na tabia chafu kuwafanyia wanafunzi,
Wanaficha tabia zao kupitia njia iyo.
Mwanafunzi anakuwa muoga kutoa taarifa endapo kafanyiwa ubaya kwa kuhofia ukali wa mwalimu, kama hujapitia changamoto za unyanyasaji shuleni huwezi kuelewa!...
Haki itendeke msitoe maoni kwa mihemko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…