Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Komenti nyingi za wanaume wenzangu zinaonyesha ushamba, ukosefu wa utu na kutokuthamini watoto na wanawake.

Hata malaya anayejiuza haihalalishi abakwe.
Ufike wakati tuheshimu watoto wetu wa kike na kuwathamini ili kuwa na walezi bora wa jamii kwa baadae.
Mkuu uzi wako Uko kiharakati Sana

Umeshindwa kuzingatia uhalisia na kuwaza khs kambaka vp bwenini asipige yowe, baada ya kubakwa asiripoti polisi,kwa wazazi au kwa uyo alikokimbilia?

Una uhakika gan uko alikokutwa hajaingiliwa kimwili?
 
Bora waue career ya mchoma mkaa maana anaharibu mazingira na ndie aliyejipigia Binti mara nyingi zaidi kuliko kuua career ya innocent teacher
Binadamu ndo mnyama pekee ambaye furaha yake hipo Katika kuona wenzie wanaumia na kupitia magumu
 
Yani wewe ni baba wa Binti unapambana na mtu ambaye inasadika kamla Binti yako mara moja maana hamna ushahidi harafu unafumba macho kwa mtu aliyemla Binti yako mwezi mzima na ushahidi upo yaani kama alikuwa anamwingilia kwa siku mara tatu kwa siku kamla zaidi ya mara 90 kama alikuwa anapiga mabao matatu Kila anavyomwingilia kamwagia manii zaidi ya mara 270
Skia mkuu, Kama unatumia jicho la tatu kufikiria utaunganisha dots kati ya baba Jose, muuza genge na Jimmy mwalimu. Nasema hivi kwasababu Pandahill Sec naifahamu nje ndani na kutoka haiwezekani mpaka uwe na GATE PASS sasa jiulize huyo dogo Ester alitokaje bila Access ya kutoka kwa Jimmy na obviously nje alikuwa amepokelewa na mtu aliyekuwa ameandaliwa kwenda kumficha. Just try to think out the box mkuu
 
Kinachooneka hapo ticha Jimmy ndo alikua ticha mnoko Sana Apo shuleni[emoji4]

Ticha ambae ameshamlala mwanafunz hawez pata guts za kumcharaza viboko hawara Yake (binti) akichelewa kwenda darasani[emoji4]

Karibu kuwaza Hilo pia Glenn[emoji4]
Upo sahihi,dogo anadhani huko mashuleni hatujapita au yeye ndo wakwanza kusoma na kutakwa kimapenzi na mwalimu,ticha wa nidhamu na mnoko anaesimamia nidham siku zote hapendwi na wanafunzi wenye nidhamu ndogo
 
Skia mkuu, Kama unatumia jicho la tatu kufikiria utaunganisha dots kati ya baba Jose, muuza genge na Jimmy mwalimu. Nasema hivi kwasababu Pandahill Sec naifahamu nje ndani na kutoka haiwezekani mpaka uwe na GATE PASS sasa jiulize huyo dogo Ester alitokaje bila Access ya kutoka kwa Jimmy na obviously nje alikuwa amepokelewa na mtu aliyekuwa ameandaliwa kwenda kumficha. Just try to think out the box mkuu
Yeye anapohojiwa anasema alitokaje? Yaani ya kubakwa anaweza kuyasema, Ila alivyotoka nje ya Geti ni siri

Japo una ka hoja kana niingia kuwa Teacher alimlazimisha dogo aombe ruhusa ili akamle, akamhifadhi kwenye geto flani, akijua wazazi hawatashtuka watajua Yuko shule, wazazi waliposhtuka ikawa ngumu namna ya kumrudisha, atasema alikuwa wapi?

Baada ya mkwala wa serikali akajiita baba Jose, akacheza na muuza mkaa kwa hela ndefu, mtoto kachimbwa mkwala, hajui aseme lipi aache lipi, ukweli anaujua Mungu tu
 
Mmmh Coca tuliza kichwa vizuri.
Hakuna mahala iliandikwa popote kuwa alikaa kwa baba Jose mwezi mzima...labda uweke ushahidi hapa.
1. Baba Jose ametajwa na mama muuza genge alipokutwa Ester

2. Baba Jose haijulikani kuwa ni kweli alimla mtoto ama laah, mtoto hajakiri popote kuwa alikuwa kwa baba Jose
Uyo mama Jose usikute ndo wale madalali wa maBinti wabichi kwa mapedeshee[emoji4]
 
Mbna alikubali Esther alikua kwa baba jose, na alisema ni msamaria mwema kwake? Hao wazazi walizuiwa kipii kuongea??

Tunarudi pale pale, kwann hakuenda sehemu sahihi za kupeleka case yake ya kubakwaa??
Na wee ungekua baba Jose ungempokea binti ukae nae mwezi mzima Bila wazazi au viongozi kujua?

KWA hili uyo anyejiita baba Jose ndo mshtakiwa namba moja
 
Kwanza mwalimu wa kiume kuingia bweni la wasichana ni kosa tayari hata kama ni mwalimu wa zamu. Kuhusu kuchelewa wanafunzi na mengine ni kazi ya Matron hiyo, yeye ndiyo anawalea na hata asubuhi muda wa kuamka hupita kila bweni kuhakikisha hakuna mwanafunzi aliyelala. Pia muda wa kwenda darasani anakagua kuhakiki hajabaki mtu kama hana kibali vha daktari.

Mwalimu wa kiume kwenda bwenini kwa wasichana, ukiwakuta uchi je? Maana hao watoto wa kike wanapenda kujiachia sana wakiwa wenyewe, wanaweza kukaa tu ndani wanapiga stori wakiwa uchi wa mnyama.
 
Skia mkuu, Kama unatumia jicho la tatu kufikiria utaunganisha dots kati ya baba Jose, muuza genge na Jimmy mwalimu. Nasema hivi kwasababu Pandahill Sec naifahamu nje ndani na kutoka haiwezekani mpaka uwe na GATE PASS sasa jiulize huyo dogo Ester alitokaje bila Access ya kutoka kwa Jimmy na obviously nje alikuwa amepokelewa na mtu aliyekuwa ameandaliwa kwenda kumficha. Just try to think out the box mkuu
Kwaiyo mwl jimmy alimbaka Kisha akampa gate pass Kisha akampeleka kwa baba Jose muuza mkaa akaendelee kumbaka na hilo ndo jicho lako la kumi lilivyoona?
 
Boss boss.
Huyu ni mtoto wa kike tena mdogo, hili tukio kama kweli alibakwa, akaumia, huoni hasira na chuki inaweza kumpa hasira ya kufanya maamuzi yasiyo sahihi?

Hujawahi kukasirika ukafanya masmuzi mabovu?
Mlivyomhoji baba Jose yeye alisemaje? kabla ya kumtuhumu ticha.
 
Binti wa kidato Cha 5, mwenye akili timamu, anasoma masomo ya sayansi. Baada ya kubakwa na mwalimu Jimmy anaondoka kwenda kukaa kwa muuza mkaa Baba Jose badala ya kwenda kuripoti polisi au kurudi na kuripoti nyumbani.

Pelekeni mahakamani ili tijue mbivu na mbchi. Uongo na ukweli haupikiki chungu kimoja. Ma classmates wataitwa na tabia halisi ya Esther itawekwa hadharani
Umewaza kwa utulivu na bila mihemuko, hongera sana.

Huyu mleta mada ni aina ya watu wenye kupokea na kuziamini habari za upande mmoja bila ya kuzichuja ama kuzitafakari na kisha kuchukua hatua!

Uamzi wa aina hiyo mara nyingi huleta majuto na fedheha, hasa baada ya ukweli usiotia shaka kufahamika dhahiri..

Mahali penye kutafutiwa ukweli na haki ni mahakamani pekee ndiko alikotakiwa fikra zake azielekeze.

Hayo mambo ya kujigamba sijui ningelifanya hiki na hiki tena kwa kujichukulia sheria mkononi ni dosari zisizokuwa za kistaarabu na za lazima kama mzazi.

Aende You tube aone wanajamii walivyomnanga huyo msichana, tena kwa maswali yenye akili kama ulivyohoji wewe!

Msichana gani mwenye maadili atabakwa kisha atorokee kwa mwanamme nje ya shule na kwenda kuwekwa kinyumba?

Binafsi sina imani na maelezo anayoyatoa huyo binti katika mitandao ya kijamii.
 
kwa kipindi hiki kulea watoto wa kike tuombe tu neema ya mungu .Bahati mbaya Hawa tunawalaumu ndo wamekuwa walezi wa mda wote wa watoto wetu.Kwani sisi wazazi tuna mda mfupi sana wa kuwalea.kwangu binafsi nawaheshimu Sana walimu wanaplay part kubwa sana ktk hili taifa hasa malezi.Kila idara Kuna mapungufu yake si wote wakamilifu.
 
Halafu kumbaka Kwa nguvu binti wa miaka 18 tena peke yako sio jambo rahisi hivyo. Bila kumjeruhi muhusika ili akose nguvu kwanza. Tofauti na hapo ni shughuli pevu.

Huwa kuna ile adrenaline mwili unapotaka kufanyiwa jambo baya.

Halafu bwenini tena Jioni ambapo Kwa maisha ya bweni sio rahisi kwamba hakuna mwanafunzi yoyote alieshuhudia wala mlinzi na hakuna taarifa yoyote ya Kubakwa popote zaidi ya mwezi mzima.

Duuuuh.
Toto lihuni Sana hili
 
Back
Top Bottom