Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Ninacho kataa mie suala LA baba Jose kuzimwa, afu kuibuliwa LA teacher jimmy, kwann aliyekua nae huyu mda wote akitafutwa asipatikane kuhojiwa, wa deal na jimmy kwani??

Waanze na baba Jose wakishamalizana nae, ndo warudi kwa jimmy. Mbna rahisi tyuuh.
Coca unajitoa ufahamu, chanzo cha huyo anayeitwa baba Jose kuingia kwa sakata hili ni Mwl Jimmy kusababisha Ester kukimbia shule.

Bila Jimmy hakuna baba Jose
 
Yeaaah ndo uanze kutafutwa ukweli kwanza wa baba josee, km yupo au hayupo, wakishamaliza hilo ndo warudi kwa jimmy.

Hata km baba Jose ni hewa tupu, hiyo hewa tupuu ichunguzwe kwan kwann ilikua hewa tupu, afu ndo turudi kwa jimmy sasa.

Kwan kuna mtu kakataa kuhusu jimmy kuhojiwa? Akaaah ila huyu baba josee aliyetajwa kukaa na Esther mwezi mzima, atafutwee ahojiwe huenda yeye ndo ana mkanda mzima wa hii movie kuliko hata huyo jimmy.
 
Sasa ikitokea huyo mtu mzima akabakwa, halafu akaamua kukaa kimya! Huo utakuwa ni uamuzi wake. Ila sheria iko wazi kabisa.

Nyinyi watetezi wake mtupe majibu; Ni kwa nini baada ya hilo tukio, alikubali kwenda kufichwa na huyo muuza mkaa (Baba Jose) kwenye nyumba ya mama muuza genge kwa zaidi ya mwezi, mpaka pale serikali ilipoingilia kati kumtafuta?

Ni kwa nini alikuwa akiishi kwa kificho? Ni kwa nini alidanganya jina? Ni kwa nini alidanganya alikotoka?
Kwa akili yake kwa baba jose ndiko alikoona safe baada ya manyanyaso aliyopitia ,,,, hatuwezi kumhukumu ni mtoto na ndio maana solution iliyotolewa ni mtoto kupata ushauri na Saha ili arudi shule , inajulikana wazi kundi hili ni vulnerable , linahitaji kuwa handled with care, Hata Huyo binti yako hajaishia kwa baba jose Ila inawezekana kameshatoa mimba,,,,sijui utafanya nini ukigundua hili….

Hili la kubaka kama unajua victims wanaweza wasitoke kuelezea waliyopitia INATOSHA!!
 
Coca unajitoa ufahamu, chanzo cha huyo anayeitwa baba Jose kuingia kwa sakata hili ni Mwl Jimmy kusababisha Ester kukimbia shule.

Bila Jimmy hakuna baba Jose
Kwahiyo sheria ya sjhule ya Panda Hill, inasema mwanafunzi akitendewa uovu au jambo tata na wafanyakazi wa shule pindi awapo shuleni, atorokee mtaani au kusiko julikana??

Au mwl Jimmy alivyombaka huyo Esther ndo akamuambia nendaa kwa baba Jose, usiende sehemu ingine yoyotee??

Hili jamboo tunatakiwa tulichanganue kwa upana na urefu ili haki sawa ipatikane kwa woteee.
 
Coca unajitoa ufahamu, chanzo cha huyo anayeitwa baba Jose kuingia kwa sakata hili ni Mwl Jimmy kusababisha Ester kukimbia shule.

Bila Jimmy hakuna baba Jose
Kwaiyo kambia shule kisa kuliwa na ticha jimmy mara moja Kisha yeye kaenda kwa baba Jose mchoma mkaa kuliwa mwezi mzima na hajatuambia bado huyo baba Jose mchoma mkaa kamla mara ngapi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mbavu zinauma kwa kuchekaa, mambo mengine bhanaa, aaaah
 
Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii.

Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester.

Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza polisi wantafute kwa haraka ili apatikane.

Jambo hili lilizua gumzo kubwa na hisia kali katika jamii.

Katika kupotea kwake Ester, inasemekana aliacha ujumbe usemao " mjihadhari na mwl Jimmy"

Jamii ilijiuliza kwanini Jimmy?

Baada ya agizo la Waziri mkuu, mtoto alipatikana kwa haraka sana, ikadaiwa alikuwa kwa muuza mkaa kwa jina baba Jose akishirikiana na mama muuza genge, mara fundi cherehani...mkanganyiko.

Wote tulishuhudia Ester akihojiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa na alirudia kumtaja Jimmy kuwa ashughukiwe bila ya kufunguka zaidi.

Leo tena kwenye vyombo vya habari, nimeshtushwa mnoo kumsikiliza Ester akihojiwa na ameelezaza kuwa;

1. Mwl Jimmy aliingia bwenini akisaka wanafunzi waliochewa kutoka bwenini.
2. Alimkuta Ester ametoka kuoga na akiwa na kanga moja
3. Akampiga kuwa kwanini amechelewa kuwahi darasani
4. Akamsukumiza kitandani, akamziba mdomo na shuka na KUMWINGILIA KIMWILI

WAZAZI/WALEZI WA ESTER
1. Wamelalamika kuwa mtoto alipopatikana mazingira yalitia shaka
2. Pamoja na mashaka viongozi waliwazuia kuongea tofauti na MAELEKEZO waliopewa
3. Sasa wanaomba haki itendeke kwani ukweli ulifichwa.

MASWALI YANGU KWA MKUU WA MKOA NA RPC
1. Kwanini mlificha ukweli wa jambo hili?
2. Kwanini mkuu wa mkoa alikuwa soft sana alipoiongelea shule ya Panda hill na zaidi akiwamwagia sifa?

3. Hii shule ya Panda hill ni ya kigogo gani serikalini?

HITIMISHO
Mazingira ya kupotea na kupatikana kwa Ester yalizua maswali mengi sana ( HUENDA HATA JINA BABA JOSE NI MAELEKEZO TU).

1. Alitorokaje shuleni wakati kuna geti na ukuta mrefu?

2. Kwanini alimtaja Jimmy?

3. Polisi na mkuu wa mkoa walishindwa nini kumwita Jimmy ahojiwe mbele ya mtoto majibu sahihi yapatikane?
4. Ni lini mtuhumiwa kama huyo hakuchukuliwa hatua za haraka bali waliamua kumfuata kwa muda wao?

4. Kwanini mkuu wa mkoa hakujitokeza tena kuliambia taifa undani wa sakata hilo badala yake Pandahill schooll ndio walipewa nafasi ya kutoa taarifa?

SAKATA HILI LINA VIASHIRIA VYA RUSHWA.

ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.

Katika maisha yangu kamwe huwezi kumdhalilisha mtoti na mwanamke mbele yangu nikavumilia...sasa awe binti yangu dunia yote ingeiona gharabu yangu.

Kwa mazingira haya Mkuu wa Mkoa na RPC mbeya:
1. Mmewakosea sana watoto wa kike kwa kutokumpa Ester haki yake.

2. Mmewakosea wazazi wote.

3. Mmelikosea na kulikosesha taifa la Tanzania.

ACHIENI NGAZI HARAKAView attachment 2675028
Alivyobakwa ndo akashindwa na kupotea njia ya kwenda kwao?
 
Kwa akili yake kwa baba jose ndiko alikoona safe baada ya manyanyaso aliyopitia ,,,, hatuwezi kumhukumu ni mtoto na ndio maana solution iliyotolewa ni mtoto kupata ushauri na Saha ili arudi shule , inajulikana wazi kundi hili ni vulnerable , linahitaji kuwa handled with care, Hata Huyo binti yako hajaishia kwa baba jose Ila inawezekana kameshatoa mimba,,,,sijui utafanya nini ukigundua hili….

Hili la kubaka kama unajua victims wanaweza wasitoke kuelezea waliyopitia INATOSHA!!
Mnatakiwa mkubali tu huyo binti ni muongo. Kwanza hakuna urahisi wowote ule kwa mwalimu wa kiume kumbaka bwenini mwanafunzi wa kike katika shule nyingi, kama siyo zote nchini.

Halafu mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18, ndiyo ubakwe kirahisi tu bwenini kwa kufunikwa na blanketi usoni!! Wizi mtupu. Baada ya kubakwa, unatoroka shule na kwenda kuishi mtaani kwa zaidi ya mwezi!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mbavu zinauma kwa kuchekaa, mambo mengine bhanaa, aaaah
Unajua watu wengi hanahemka bila kutumia akili mwisho wamwalibie maisha mtu mwingine na wanaume ndo huwa tunakuwa wahanga na wanawake wenye roho mbaya kama huyu Binti yaani mwalimu ambake mwanafunzi bwenini ambako wanalala wanafunzi zaidi 200 wakati Kuna probability kubwa kukamatwa na wanafunzi wengine ambao wamedoji au wasahau chochote na kurudi bwenini
 
Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii.

Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester.

Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza polisi wantafute kwa haraka ili apatikane.

Jambo hili lilizua gumzo kubwa na hisia kali katika jamii.

Katika kupotea kwake Ester, inasemekana aliacha ujumbe usemao " mjihadhari na mwl Jimmy"

Jamii ilijiuliza kwanini Jimmy?

Baada ya agizo la Waziri mkuu, mtoto alipatikana kwa haraka sana, ikadaiwa alikuwa kwa muuza mkaa kwa jina baba Jose akishirikiana na mama muuza genge, mara fundi cherehani...mkanganyiko.

Wote tulishuhudia Ester akihojiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa na alirudia kumtaja Jimmy kuwa ashughukiwe bila ya kufunguka zaidi.

Leo tena kwenye vyombo vya habari, nimeshtushwa mnoo kumsikiliza Ester akihojiwa na ameelezaza kuwa;

1. Mwl Jimmy aliingia bwenini akisaka wanafunzi waliochewa kutoka bwenini.
2. Alimkuta Ester ametoka kuoga na akiwa na kanga moja
3. Akampiga kuwa kwanini amechelewa kuwahi darasani
4. Akamsukumiza kitandani, akamziba mdomo na shuka na KUMWINGILIA KIMWILI

WAZAZI/WALEZI WA ESTER
1. Wamelalamika kuwa mtoto alipopatikana mazingira yalitia shaka
2. Pamoja na mashaka viongozi waliwazuia kuongea tofauti na MAELEKEZO waliopewa
3. Sasa wanaomba haki itendeke kwani ukweli ulifichwa.

MASWALI YANGU KWA MKUU WA MKOA NA RPC
1. Kwanini mlificha ukweli wa jambo hili?
2. Kwanini mkuu wa mkoa alikuwa soft sana alipoiongelea shule ya Panda hill na zaidi akiwamwagia sifa?

3. Hii shule ya Panda hill ni ya kigogo gani serikalini?

HITIMISHO
Mazingira ya kupotea na kupatikana kwa Ester yalizua maswali mengi sana ( HUENDA HATA JINA BABA JOSE NI MAELEKEZO TU).

1. Alitorokaje shuleni wakati kuna geti na ukuta mrefu?

2. Kwanini alimtaja Jimmy?

3. Polisi na mkuu wa mkoa walishindwa nini kumwita Jimmy ahojiwe mbele ya mtoto majibu sahihi yapatikane?
4. Ni lini mtuhumiwa kama huyo hakuchukuliwa hatua za haraka bali waliamua kumfuata kwa muda wao?

4. Kwanini mkuu wa mkoa hakujitokeza tena kuliambia taifa undani wa sakata hilo badala yake Pandahill schooll ndio walipewa nafasi ya kutoa taarifa?

SAKATA HILI LINA VIASHIRIA VYA RUSHWA.

ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.

Katika maisha yangu kamwe huwezi kumdhalilisha mtoti na mwanamke mbele yangu nikavumilia...sasa awe binti yangu dunia yote ingeiona gharabu yangu.

Kwa mazingira haya Mkuu wa Mkoa na RPC mbeya:
1. Mmewakosea sana watoto wa kike kwa kutokumpa Ester haki yake.

2. Mmewakosea wazazi wote.

3. Mmelikosea na kulikosesha taifa la Tanzania.

ACHIENI NGAZI HARAKAView attachment 2675028
tuna mambo mengi sana ya kufanya na kujadili. huyo binti mwenyewe hata hajaeleza kama alikuwa bikra na kama aliumia au hata kutoa damu. kwamba jamaa alimkamata tu, kumlaza akiwa ametoka kuoga labda yale maji yalisaidia utelezi, then breck testicles ni kwamba jamaa alipiga tu mzigo. ni kweli alibaka lakini lisichukuliwe kama vile aliua hata kututoa kwenye reli ya mjadala wa DP WORLD.
 
Baada ya kubakwa akachanganyikiwa, akaona kwa baba Jose ( au popote kule alikokwenda) ndio salama kuliko Nyumbani?

Alimchapa ndio akambaka? ❌ script haipo sawa hapa.
Mwl Jimmy aliwahi kuwa mtuhumiwa wa kubaka kabla? ❌
Mtoto mtoro ana historia ya kutoroka kabla na kwenda kwa wanaume✅
Mbali na yote waende mahakamani, hukumu itatoka vizuri tu.
 
Mnatakiwa mkubali tu huyo binti ni muongo. Kwanza hakuna urahisi wowote ule kwa mwalimu wa kiume kumbaka bwenini mwanafunzi wa kike katika shule nyingi, kama siyo zote nchini.

Halafu mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18, ndiyo ubakwe kirahisi tu bwenini kwa kufunikwa na blanketi usoni!! Wizi mtupu. Baada ya kubakwa, unatoroka shule na kwenda kuishi mtaani kwa zaidi ya mwezi!!!
Umeshakua judgmental kusema binti ni muongo kabla uchunguzi hujafanywa, anyway baki na msimsmo wako eti mwanafunzi wa miaka 18 kubakwa,haiwezekani? hutaki au??????
 
Mkuu una watoto?
Kwanza inakuwaje mwalimu wa kiume aingie bweni la wasichana?
Mwalimu wa kiume kuingia bweni la watoto wa kike,sidhani Kama ni shida,mwalimu ni mlezi na hata hivyo ukute matron alikua bize na watoto wengine,hivyo kupelekea mwl.Jimmy kumsaidia kazi.
Hujawahi kuona askari wa kike akimtia nguvuni kijana wa kiume au askari wa kiume akimtia nguvuni kijana wa kike?Hapo nadhani kuna mazingira,yaliyofanya Jimmy akaingia kumtoa huyo dada bwenini aende darasani.Anyway iangaliwe mwalimu asiharibiwe kazi kwa nia ovu ya wachache.
 
Binti wa kidato Cha 5, mwenye akili timamu, anasoma masomo ya sayansi. Baada ya kubakwa na mwalimu Jimmy anaondoka kwenda kukaa kwa muuza mkaa Baba Jose badala ya kwenda kuripoti polisi au kurudi na kuripoti nyumbani.

Pelekeni mahakamani ili tijue mbivu na mbchi. Uongo na ukweli haupikiki chungu kimoja. Ma classmates wataitwa na tabia halisi ya Esther itawekwa hadharani

Yaani kwa akili zako kabisa unaamini binti wa level hiyo uliyoaandika anaweza kufanya ujinga huo?

Unaifahamu lakini Panda hill? Ficha ujinga wako ndugu.
Yaani unaamini kbs hao watu hawakuwa wanajua lolote lile, ila baada ya kauli ya waziri mkuu ndani ya masaa 24 wakajua yupo kwa muuza mkaa.
Tutumie akili zetu kufikiria kwa udadisi.
 
Tusiwafanye walimu jalala, Picha ya Esther inaongea mengi haswa kitabia. Tumuache Mwalimu jimmy
 
Huyu dogo nae anatafuta kiki au huruma ya jamii,
Why asingeenda kwa kwa wazazi wake? Why usiende mripot police soon, sasa saizi hata evidence hazipo, anatafuta tu wa kufa nae, ila hakuna kitu atasema kitaaminika tena,

Elewa kisa afu uje utuambie hapa aende polisi wakati gani?
Naona kama umechangia tu bila kufahamu mtiririko ulikuwaje?
 
Back
Top Bottom