cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanafunzi wa kidato cha tano pale pale, shuleni.
kwamba ni mzoefu wa mazingira na walimu na uongozi wa shulke.
Ungetoroka na kwenda kutoa taarifa kwa wazazi unge eleweka.
Sasa una kwenda kuwekwa kinyumba na baba jose, sasa unacho kimbia ni nini?
Haya baba jose yuko wapi?
Unatafuta kuhurumiwa!!
Eti umebakwa!!!
kesho utasema mwalimu jimmy ana kibamia [emoji1787],
kesho kutwa utasema muuza mkaa hana nguvu za kiume!