uhuru tech
Member
- Apr 16, 2017
- 48
- 52
Huo ni uongo kwanza mwl wa kiume haruhusiwi kuingia bweni za kike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungesimuliwa yote yanayotendeka jkt si ungetoa laana kwa jeshi zima?
kuna law bending
Na law breaking
Ili kufanya mambo yaende.. Inabidi mkubali tu mtoto wenu ni muhuni. Alikutana vipi na baba jose? Si ajabu lilikuwablinatoroka muda mrefu tu sema walimu walilivumilia
Kama umala hata mama yako ni mhusika.
Tujadili ubakaji wa Jimmy na RC kutoa maelekezo namna ya kuongea.
Umalaya wa Rster una ushahidi gani?
Una uhakika kuna baba Jose kweli?
Ikiwa walipewa maelekezo namna ya kuongea huenda hata baba Jose ni scrot tu ili kuihadaa jamii funguka
Na kwanini hasemi baba Jose muuza mkaa kambaka mara ngapi?Kwanini hakwenda police na akakimbilia kwa baba Jose?
Unataka video ikionesha binti akingonoka na baba Jose?
Mkuu kwa maelezo ya Ester hata kama mimi ningekuwa mzazi wake pia hakika dunia ingepata habari kwa ambacho kingemkuta huyo mwal. JimmyNchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii.
Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester.
Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza polisi wantafute kwa haraka ili apatikane.
Jambo hili lilizua gumzo kubwa na hisia kali katika jamii.
Katika kupotea kwake Ester, inasemekana aliacha ujumbe usemao " mjihadhari na mwl Jimmy"
Jamii ilijiuliza kwanini Jimmy?
Baada ya agizo la Waziri mkuu, mtoto alipatikana kwa haraka sana, ikadaiwa alikuwa kwa muuza mkaa kwa jina baba Jose akishirikiana na mama muuza genge, mara fundi cherehani...mkanganyiko.
Wote tulishuhudia Ester akihojiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa na alirudia kumtaja Jimmy kuwa ashughukiwe bila ya kufunguka zaidi.
Leo tena kwenye vyombo vya habari, nimeshtushwa mnoo kumsikiliza Ester akihojiwa na ameelezaza kuwa;
1. Mwl Jimmy aliingia bwenini akisaka wanafunzi waliochewa kutoka bwenini.
2. Alimkuta Ester ametoka kuoga na akiwa na kanga moja
3. Akampiga kuwa kwanini amechelewa kuwahi darasani
4. Akamsukumiza kitandani, akamziba mdomo na shuka na KUMWINGILIA KIMWILI
WAZAZI/WALEZI WA ESTER
1. Wamelalamika kuwa mtoto alipopatikana mazingira yalitia shaka
2. Pamoja na mashaka viongozi waliwazuia kuongea tofauti na MAELEKEZO waliopewa
3. Sasa wanaomba haki itendeke kwani ukweli ulifichwa.
MASWALI YANGU KWA MKUU WA MKOA NA RPC
1. Kwanini mlificha ukweli wa jambo hili?
2. Kwanini mkuu wa mkoa alikuwa soft sana alipoiongelea shule ya Panda hill na zaidi akiwamwagia sifa?
3. Hii shule ya Panda hill ni ya kigogo gani serikalini?
HITIMISHO
Mazingira ya kupotea na kupatikana kwa Ester yalizua maswali mengi sana ( HUENDA HATA JINA BABA JOSE NI MAELEKEZO TU).
1. Alitorokaje shuleni wakati kuna geti na ukuta mrefu?
2. Kwanini alimtaja Jimmy?
3. Polisi na mkuu wa mkoa walishindwa nini kumwita Jimmy ahojiwe mbele ya mtoto majibu sahihi yapatikane?
4. Ni lini mtuhumiwa kama huyo hakuchukuliwa hatua za haraka bali waliamua kumfuata kwa muda wao?
4. Kwanini mkuu wa mkoa hakujitokeza tena kuliambia taifa undani wa sakata hilo badala yake Pandahill schooll ndio walipewa nafasi ya kutoa taarifa?
SAKATA HILI LINA VIASHIRIA VYA RUSHWA.
ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.
Katika maisha yangu kamwe huwezi kumdhalilisha mtoti na mwanamke mbele yangu nikavumilia...sasa awe binti yangu dunia yote ingeiona gharabu yangu.
Kwa mazingira haya Mkuu wa Mkoa na RPC mbeya:
1. Mmewakosea sana watoto wa kike kwa kutokumpa Ester haki yake.
2. Mmewakosea wazazi wote.
3. Mmelikosea na kulikosesha taifa la Tanzania.
ACHIENI NGAZI HARAKAView attachment 2675028
Kati ya ticha na baba Jose na mwl jimmy nani kambaka Binti?Elewa kisa afu uje utuambie hapa aende polisi wakati gani?
Naona kama umechangia tu bila kufahamu mtiririko ulikuwaje?
Ifikie kipindi wananchi wakishajiridhisha na ushahidi upo tuingie kwenye zile zama za "USIMUACHE MCHAWI AU MWIZI AISHI" Ni moto tuHaya mambo yapo mkuu.
Kuna shule ya kulipia karibu na ninapoishi, kuna mwl Jina James alikuwa akitembea na wanafunzi wa darasa la 7, ilipojulikana, shule walimhamishia shule yao nyingine kimya kimya kulinda hadhi ya shule...tusikatae wala kukubali kirahisi, ukweli utafutwe kwanza
Wanataka kuua career ya Jimmy and nothing elseNa kwanini hasemi baba Jose muuza mkaa kambaka mara ngapi?
Yani wewe ni baba wa Binti unapambana na mtu ambaye inasadika kamla Binti yako mara moja maana hamna ushahidi harafu unafumba macho kwa mtu aliyemla Binti yako mwezi mzima na ushahidi upo yaani kama alikuwa anamwingilia kwa siku mara tatu kwa siku kamla zaidi ya mara 90 kama alikuwa anapiga mabao matatu Kila anavyomwingilia kamwagia manii zaidi ya mara 270Mkuu kwa maelezo ya Ester hata kama mimi ningekuwa mzazi wake pia hakika dunia ingepata habari kwa ambacho kingekukuta huyo mwal. Jimmy
Kwanini tunarudia zama za JK za kujuana na rushwa kutamalaki? Inauma sana😩
Ila nasema tena ilaaa..... yote haya ni sababu ya unyonge wetu wananchi, hakika tumerogwa na kurogeka haswaaa😭😭😭🙌
Bora waue career ya mchoma mkaa maana anaharibu mazingira na ndie aliyejipigia Binti mara nyingi zaidi kuliko kuua career ya innocent teacherWanataka kuua career ya Jimmy and nothing else
Kimsingi swali lako la kwanza ulilomuuliza ni zuri mnoHakuna unyanyasaji uliotokea za ni kwamba Kuna mwanaume anataka kunyanyaswa ili kutakatisha uchafu wa hako ka Malaya kadogo