DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Mkuu uzi wako Uko kiharakati SanaKomenti nyingi za wanaume wenzangu zinaonyesha ushamba, ukosefu wa utu na kutokuthamini watoto na wanawake.
Hata malaya anayejiuza haihalalishi abakwe.
Ufike wakati tuheshimu watoto wetu wa kike na kuwathamini ili kuwa na walezi bora wa jamii kwa baadae.
Umeshindwa kuzingatia uhalisia na kuwaza khs kambaka vp bwenini asipige yowe, baada ya kubakwa asiripoti polisi,kwa wazazi au kwa uyo alikokimbilia?
Una uhakika gan uko alikokutwa hajaingiliwa kimwili?