Sakata la picha chafu: Wema, mama Wema kusoma albadili

huyu naye unakuta aliwahi kuwa mke wake mtu...sasa unakua na wife kama huyu halafu anazaa binti kama wema...hivi kwa nini usidedi mapema kwa disappointmenti? R.i.p mzee sepetu kwanza ulijitahidi kwa umri uliodedi nao.
 
Hivi huyu mama kwanini anapenda aibu? angekaa kimnyaa pia ni albadiri tosha,vituko walivyokua navyo naona wanajidhuru wenyewe,mama mtu mzima kuji laanisha kwenye magazeti haipiti mwaka ametoka. magazetini...........asara tupu....mungu atunusuru na wazee wetu..............
 
mwaka mbona umempendelea sema mwezi yani huyu mama anatia kinyaa hadi kichefuchefu
 
Back
Top Bottom