Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku iz kawa mpole kama hayupo vile
munkari upo jaman....
njoo piem
kipindi siku hizi hakioneshwi tena
Mkataba kushnei walisema wata renew ndo mpaka kesho, hayo mambo ya tv show angemwachia jide tu aliyejipanga
sijui kutuma pm ni attach pic labda what's up
hata hiyo fresh
Kazi kweli kweli na ndo ajifunze nidhamu ya hela akipata sio kufanya show off nyingi wakati huja invest hapo clemence lazma atamkumbuka tu
Hivi huyu mama kwanini anapenda aibu? angekaa kimnyaa pia ni albadiri tosha,vituko walivyokua navyo naona wanajidhuru wenyewe,mama mtu mzima kuji laanisha kwenye magazeti haipiti mwaka ametoka. magazetini...........asara tupu....mungu atunusuru na wazee wetu..............
Diamond si billionea? a-sponse kipindi cha wema!
wasije kunisomea na mimi albadil
Diamond bahili haongi ovyo anajipanga na kwa vile anagombaniwa hawezi kutoa bure bure
mi mwenyewe naijua albadili wakimwaga mboga tutamwaga ugali
hahahaha lols......
kuhonga kipaji sio kila mtu ana hiko kipaji