Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Sawa
🙏🏾🙏🏾
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa
Hii scenario ya ukimsema jiwe , basi umeguswa na maslahi yako nayo ilikuwa ni mbinu ya jiwe kuwapumbaza watu,Bandiko lako kuu na ulichoandika hapo yawezekana una hoja ila umeshindwa kuiweka wazi kwa sababu unasukumwa na mtizamo wako kisiasa na chuki kwa sababu uliguswa kwenye maslahi yako binafsi
Hii scenario ya ukimsema jiwe , basi umeguswa na maslahi yako nayo ilikuwa ni mbinu ya jiwe kuwapumbaza watu,
Umenikumbuaha wezi wa mitaani south .africa , hilbrow na berea, back in late 90s
Wanakukaba halafu wakati wanakusachi na kukuibia wanalalamika kuwa wanakudai. Huwezi.kupata msaada maana kila mpitanjia anahisi kuwa mnajuana na hao wezi
Haha sikujua kama hii mbinu iliwahi kuwepo huku Tanzania , nimeishi sana mwananyamalla ila niliporudi nyumbani sikutamani tena kuishi huko😂😂😂
Hata Wezi WA uswahilini Huko mwananyamala au Manzese na Tandale wanatumia mbinu hiyohiyo ukikutana nao Huko vichochoroni.
Haha sikujua kama hii mbinu iliwahi kuwepo huku Tanzania , nimeishi sana mwananyamalla ila niliporudi nyumbani sikutamani tena kuishi huko
Jiwe alikuwa akitaka kukusulubu kwanza anakupa jina la "mpiga deal". kutoka hapo kila atakachokufanyia watanzania hawatahoji.
Kiranja mkuu hakuwa Mwizi.
Kwa taarifa Yako alipandikizwa na sisi WAALIMU Ili atatue tatizo la wizi na uhuni shuleni na alifanikiwa Kwa kiasi kikubwa.
Waizi mlipandikiziwa JASUSI na liliporudi kufanya KAZI lililosomea mkadhani linawasaliti.
Tunza comment hii,
AJAYE atawafurahisha.
Jinai Haina Graduation kwamba utahitimu,Sisi tulishahitimu
Shule muda Sana.
Headboy Jizi, aliibia sio tuu Wanafunzi, aliibia mpaka shule na waalimu wake.
Sifa zake zilivuka mipaka ha shule mpaka zikafika mtaani.
Headboy Jizi, aliyetaka kuiba pekeake Kwa Uchoyo.
Headboy atakayekuja akae akijua kama anataka kuwa Msafi awe msafi kweli na sio mambo ya kinafiki.
Jinai Haina Graduation kwamba utahitimu,
Pia JINAI Haina UKOMO.
Unaeza pandishwa parade Ukiwa na miaka 100 na ukacharazwa mbele ya wajukuu zako.
Kuhusu ajaye kuwa msafi usiwe na shaka,
KATIBA ya Shule inatengezwa na WAMILIKI vzr Ili AJAYE asiwe Mwizi.