Sakata la RC Malima na Mkurugenzi Mwanza halina tofauti na wale wauguzi kubishania vifaa tiba feki

Umenena vema. Maccm yote ni majizi. Hapo mkurugenzi alikula peke yake,ndio maana dili limebumburuka
 
Una mawazo ya kijinga sana! Akili yako yote imejaa wizi!

Mpuuzi mkubwa wee!
 
Umeandika pumba! Kitu hujui uliza uelimishwe
Ni kweli hana ajualo, maana baada ya kuchimba suala la biashara ya viwanja hivyo ilivyokwenda, kakimbilia neno Dili tu.

Tafadhali mtoa uzi rudi jikoni upate taarifa kamili. Kama suala ni la kueleza kazi za RC na Mkurugenzi, ni vyema ufungue Uzi mwingine wenye kichwa cha habari Kazi na majukumu ya RC na Mkurugenzi.
 
Unajua RC ni boss wa DED? Unajua kikatiba RC ni Rais wa Mkoa?
Hiyo ni siasa ni kama vile ukisikiaga WANANCHI NDO MABOSI wa VIONGOZI!
Mkurugenzi ni jembe au mikono ya serikali,
Miradi yote ya maendeleo iko chini ya Mkurugenzi! Huyo rais mkoa ni kiremba tu, rais ambaye hawezi kula bila saini ya Mkurugenzi ni kujifariji tu
 
Kiwanja kimeuzwa kwa kufuata taratibu zote! Sema RC Hajaramba mgao
 
Tena kakariri vibaya huyu!
Kiuhalisia, vyeo vyote ambavyo MTEUZI ni mmoja vinalingana. Ukubwa wa cheo unategemeana na MTEULUWA ana ushawishi gani kwa MTEUZI.

Mfano: RC Makonda alikuwa na nguvu kuliko hata Waziri Mkuu au Kamanda Sirro.

DC Sabaya alikuwa na nguvu kubwa kuliko RC Anna Mgwira.
 
unaumwa si bure
 
Sijui viongozi wa nchi hii hupatikanaje... Malima ni mtu wa hovyo sana... tangu akiwa NW Madini ni mlafi, mchawi, mwasherati asiyeelezeka na mchimvi sana.
 
Sijui viongozi wa nchi hii hupatikanaje... Malima ni mtu wa hovyo sana... tangu akiwa NW Madini ni mlafi, mchawi, mwasherati asiyeelezeka na mchimvi sana.
Ni mtoto wa kigogo mwenzao. Hakuna CV nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…