Hilo zee toka lianze kuongea kuna mabadiriko yoyote kwenye hiyo airport yetu ya Mwanza?Ngoja awanyooshe, mmejikusanya kuja humu kumshambulia? Idara ya ardhi Jiji isambaratishwe, na wahusika wote wapelekwe mahakamani.
Nyie ndio mlikuwa mnajenga godown badala ya uwanja wa ndege, kama sio Malima, watu wangejuta, na Hela mlishapiga, Malima, hebu kazia nati hawa jamaa, tena Unda Tume kufuatilia viwanja vyote vilivyomilikiwa na Jiji la Mwanza halafu wakaviuza
Ukifika mahakani unahitaji dokomenti za Mkurugenzi kama sehemu ya ushahidi vinginevyo HAKUNA KESIKwa nini uuze ardhi ya serikali? Unauza upate nini ambacho kwenye bajeti umeomba ukanyimwa? Tena unauza eneo la mjini wakati wewe mwenyewe unahangaika pa kuwaweka wamachinga, huna? Hii Ina maswali mengi sana, Malima usiishie hapo, hao watu wapelekwe mahakamani
Leta picha ya hicho kiwanja, mnakuwa kama mazombie, mwanza mtaa wa rwegasore au town nzima kuna kiwanja gani? Acheni ujinga.Hivyo vijumba vya tope ndio vinauzwa bilioni? Hicho ni kiwanja, tena Cha mjini kati.
Nyie lazima mhenyeshwe, na huyu kamihanda kama alihamisha umiliki, kazi anayo
Achana na mchawa wa malima hawajui kitu.Ukifika mahakani unahitaji dokomenti za Mkurugenzi kama sehemu ya ushahidi vinginevyo HAKUNA KESI
Kesi ni ushahidi mkuu siyo blaah blaah Ni kweli eneo limeuzwa lakini limefuata taratibu ZOOOOTE
Tatizo ni mgawoooooo
Mabadiliko yanakuja, hiyo airport itafumuliwa.Hilo zee toka lianze kuongea kuna mabadiriko yoyote kwenye hiyo airport yetu ya Mwanza?
Wakijua majukumu ya serikali za mitaa na serikali kuu, na top leaders level za wilaya na mikoa ndo watakuja kukiri Marc/dc ndo Marais wa maeneo husika.Ni kweli! Vijana hawajui kitu, ukitaka kuwaelimisha wanaanza mimatusi tu
Huko buswelu hakuna umeme, hakuna maji na barabara hakuna? Enezeni propaganda tu, huyo malima wenu an muda mchache amebakiza.Mabadiliko yanakuja, hiyo airport itafumuliwa.
Na bado vile viwanja vya Buswelu East, mlitoza watu pesa nyingi mkawahidi kwamba mtaweka barabara, maji, umeme, hakuna mlilofanya, wezi wakubwa nyie
Kweli kabisa, RC/DC ndio Rais wa eneo husika, huwezi kumpangia Rais asiende mahali fulani au asifanye kitu fulani.Wakijua majukumu ya serikali za mitaa na serikali kuu, na top leaders level za wilaya na mikoa ndo watakuja kukiri Marc/dc ndo Marais wa maeneo husika.
Kama tunaletewa marais wa mikoa wapumbavu na watu waporojo kama malima ni bora ata RC wawe wanapigiwa kura kuliko kuletewa vitu vya ajabu.Wakijua majukumu ya serikali za mitaa na serikali kuu, na top leaders level za wilaya na mikoa ndo watakuja kukiri Marc/dc ndo Marais wa maeneo husika.
Huyo mkurugenzi mwizi mwenzenu amewekwa na nani? Huyo malima na huyo mkurugenzi wote wezi tu na wala rushwa lakini mmoja kamzidi mwenzake akili.Kweli kabisa, RC/DC ndio Rais wa eneo husika, huwezi kumpangia Rais asiende mahali fulani au asifanye kitu fulani.
Ana uwezo wa kuhoji jambo lolote like ndani ya mkoa wake, na ndio maana Samia alimuweka pale amuwakilishe.
Hata Ile stendi ya Nyamongolo, sijui kama wameweka lami ya kuingia stendi.
Maduka ya shule ya secondary pamba mikataba ni hovyohovyo tu.
Huyo ni Malima, rudia jina hilo mara tatu, mtakaa naye sana hapo, na ninamshauri awapige msako wa kutosha na ikibidi TISS wakague mawasiliano yote ya simu ya watumishi wa hapo kwa miaka mitati au mitano nyumaHuko buswelu hakuna umeme, hakuna maji na barabara hakuna? Enezeni propaganda tu, huyo malima wenu an muda mchache amebakiza.
Wakati makamo wenu wa rais philipo mpango alipokuja kuzingua ili ianze kutumika hakuona kama kuna kasoro? Shida inaanzia uongoz wa juu adi machawa wa huku chini.Kweli kabisa, RC/DC ndio Rais wa eneo husika, huwezi kumpangia Rais asiende mahali fulani au asifanye kitu fulani.
Ana uwezo wa kuhoji jambo lolote like ndani ya mkoa wake, na ndio maana Samia alimuweka pale amuwakilishe.
Hata Ile stendi ya Nyamongolo, sijui kama wameweka lami ya kuingia stendi.
Maduka ya shule ya secondary pamba mikataba ni hovyohovyo tu.
Ifanyike na uhakiki wa viwanja vyote, mtakutwa mtu mmoja kajimilikisha viwanja 100, yaani Afisa Ardhi hapo Jiji apaone pa moto, wake zenu wanunulieni matango, maana hamtasimamisha kama mkipigwa msako.Huyo mkurugenzi mwizi mwenzenu amewekwa na nani? Huyo malima na huyo mkurugenzi wote wezi tu na wala rushwa lakini mmoja kamzidi mwenzake akili.
Sisi tunadeal na aliye saiti, nyie ndio mko hapo saiti.Wakati makamo wenu wa rais philipo mpango alipokuja kuzingua ili ianze kutumika hakuona kama kuna kasoro? Shida inaanzia uongoz wa juu adi machawa wa huku chini.
Unashangaa hili kwani hujawahi kuona MTU anapigwa ngumi akiwa mahabusu!Na wanafanya ujinga huo Waziri wa Ardhi akiwa anatokea mwanza hapohapo, nitashangaa sana kama hatakula sahani moja na hao vibaka waliokaa katika Ofisi za umma
Sina shida naye ikiwa atafanya mambo mazuri kuliko maneno maneno kama wasichana wa uswahilini.Huyo ni Malima, rudia jina hilo mara tatu, mtakaa naye sana hapo, na ninamshauri awapige msako wa kutosha na ikibidi TISS wakague mawasiliano yote ya simu ya watumishi wa hapo kwa miaka mitati au mitano nyuma
Hawa vijana wa pori hawatakuelewaUnashangaa hili kwani hujawahi kuona MTU anapigwa ngumi akiwa mahabusu!
Watu wanapiga hadi miradi ya ikulu unashangaa hili!
Tibaijuka mwenyewe alishawahi zinguliwa kidogo atapeliwe ardhi akiwa waziri sembuse; waziri kutokea mkoa
Hizo ofisini tinazijua sana, tangu Paul Wanga akiwa karani hapo mpaka akawa mwanasheria, na baba yake akiwa mtumishi hapoH
Hawa vijana wa pori hawatakuelewa
Kwani anautofauti gani na walamba asali wengine?Hizo ofisini tinazijua sana, tangu Paul Wanga akiwa karani hapo mpaka akawa mwanasheria, na baba yake akiwa mtumishi hapo