Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Hilo zee toka lianze kuongea kuna mabadiriko yoyote kwenye hiyo airport yetu ya Mwanza?Ngoja awanyooshe, mmejikusanya kuja humu kumshambulia? Idara ya ardhi Jiji isambaratishwe, na wahusika wote wapelekwe mahakamani.
Nyie ndio mlikuwa mnajenga godown badala ya uwanja wa ndege, kama sio Malima, watu wangejuta, na Hela mlishapiga, Malima, hebu kazia nati hawa jamaa, tena Unda Tume kufuatilia viwanja vyote vilivyomilikiwa na Jiji la Mwanza halafu wakaviuza