Sakata la RC Malima na Mkurugenzi Mwanza halina tofauti na wale wauguzi kubishania vifaa tiba feki

Kwani anautofauti gani na walamba asali wengine?
Tofautisha serikali na mtu binafsi, serikali ikiamua kuvaana na wewe, inakuvaa kama taasisi, na haitakuachia kirahisi, Sabaya unamuona, alitegemea ulinzi wa mtu binafsi, sio taasisi, na ili ulindwe na taasisi fata matakwa na maslahi ya nchi, sio vitumbo vyenu hivyo vimejaa vibambara na viporo vya ugali wa mtama.

Anayelalamika hapo ni serikali, Malima ni kisemeo tu Cha serikali, anaongea kwa niaba ya hao wananchi wanaokaa Jiji la mwanza, I mean, ni wananchi ndio wamesema mmeuza kiwanja Chao wakati waliwapa mkitunze, na wao wamekitunza kwa miaka dahari, wamepita wakurugenzi na maafisa ardhi wangapi hapo? Walikuwa wajinga kukiacha nyie ndio mna akili? Hata kufanya Public Private partnership mlishindwa? Shnz typ

Hivyo viwanja Wana mwanza unaowaona hapo mjini ndio wamiliki, sio nyie mliokaa hapo kwenye hizo ofisi
 
Una uhakika unachosema, Yani uwe na cheti halali Cha ndoa alafu unasema hujafunga ndoa.
 
Una uhakika unachosema, Yani uwe na cheti halali Cha ndoa alafu unasema hujafunga ndoa.
Huo mfano haufanan! Nimekwambia kuwa mwanacha wa siasa ni tofauti sana na kuwa mwanasia!

Mwanasiasa ni mhamasishaji wa siasa, na mwana chama ni mfuasi wa mlengo wa siasa!

Tofautisha mwanasiasa na mwanachama!
 
Ulitaka tuache nyumba za tope katikati ya mji?
 
Ulitaka tuache nyumba za tope katikati ya mji?
Zilipokuwepo mlipata hasara gani? Mlibuni uwekezaji? Serikali Ina maeneo ya wazi mangapi nchi hii? Mlitafuta private public partnership? Mililiboresha angalau kwa muda mfupi litumiwe na machinga?. Parking? Mnada wa jioni?

Hamna justification yoyote zaidi ya ufisadi mkubwa na wa kishenzi kabisa,

Kauzeni na viwanja vya furahisha,magomeni na mirongo
 
Mkurugenzi hawezi kula peke yake kwani mwenye sauti ya mwisho ni RC au DC. Mf. Mradi mkubwa ni lazima RC, DC kusaini. Akikataa kusaini hakuna kinachoendelea.
 
You Know Nothing...

Sent from my CPH2197 using JamiiForums mobile app
 
Ulitaka nawe tukupe mgao wa shilingi ngapi? Tutahakikisha vijumb vyombe mshenzi katikati ya cbd tunavimalize hiwe mvua iwe jua.
 
Wanatafuta za kustaafia ambako V8, posho na nyumba ya bure halzitakuwepo tena
 
Sahihi kabisa.
 
Sasa huyo malima si ndio aliibiwa na mwanamke anayejiuza bunduki.

He is incompetent.

Hakuna haja ya kuandelea kumlea mtu ambaye hana uwezo.

Kama baba yake alionewa fadhila zimetosha.

Hatuwezi endelea kuingiza Taifa hasara kwa kufurahishana tu.

Fukuza huyu mjinga na wengine kama yeye the likes of Nape and Makamba.
 
Hana uadilifu wowote
 
Wote wapigaji, sema mmoja kakosa mgao
 
Hana uadilifu wowote
Huyu mpuuzi analelewa kila siku kwani yeye nani nchi hii.

Inachosha kuandelea kumsikia huyu mjinga.

To hell witj kikwete na huruma za alichomfanyia baba yake.

Baba yake ndio aliiba pesa za serikali na kufunga akaunti zake haikuwa dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…