Sakata la Richmond: Lowassa amjibu Mwakyembe, asema asitafte mtaji wa kisiasa

Polonium ndio inamsumbuwa Mwakyembe ubongo umeshaoza umejaa fungus.

Mwakyembe na marehemu Samuel Sitta ni watu wa ajabu sana kuwahi kutokea hapa duniani.
Unamjua nani alimwagia hiyo Polonium na kwanini?
 
Mbona hakuna mwanachadema aliye tayari kutaka suala la Richmond lirudishwe bungeni? Mnaogopa nini? Si ndio mngefurahi ili mkulu aliyepita atajwe na Lowassa ajutetee tuujue ukweli? Kama wanaume kweli, ombeni review!
 
Kama hakuhusika kwanini alijuhudhuru??? Ata kama jk alihusika ila yeye ndiyo alikuwa anaongoza mchakato mzima na ndiyo maana aliamua kung'atuka..
 
Leteni hoja ya Richmond Bungeni, acheni, kubabaisha.
 
Kujiuzulu ulikuwa uwajibikaji wa kisiasa tu. Sasa mnaweza kumpeleka mahakamani tu. Hilo suala bungeni lilishatoka!
Acheni visingizio. Kanuni zinaruhusu. Mwabieni TL awasomee. Hoja irudishwe bungeni ili FISADI Lipewe Natural justice.
 
kwa sasa kashafa nyingi zinatumika kama mtaji wa kisiasa. sio upande wa serikali wala upinzani. mwakyembe yuko serikalini na wala hajamshauri hata siku moja rais jambo hili liende mahakamani. huu ni unafiki wa hali ya juu...
 
Polonium ndio inamsumbuwa Mwakyembe ubongo umeshaoza umejaa fungus.

Mwakyembe na marehemu Samuel Sitta ni watu wa ajabu sana kuwahi kutokea hapa duniani.
Waambieni wabunge zenu warudishe hoja ya Richmond Bungeni, mbona mnabweka sana??

Toka lini mkawa watetezi wa Kikwete? Ccm?
Nadhani hiyo ni fursa ya kuivua nguo CCM NA SERIKALI YAKE,
Ajabu sasa badala ya kuitumia fursa mnaanza kuleta vioja, "Ooh Kikwete haponi, ooh ianze hoja ya kumuondolea kinga Rais, ooh polonium inamsumbua Mwakyembe," aliyempa polonium Mwakyembe ni nani kama sio huyo huyo fisadi mnayemkumbatia sasa hivi??

Badala ya kurudisha hoja Bungeni mnaanza kufukua makaburi sasa, "ooh Sitta na Mwakyembe ni watu wa ajabu sana", hebu muacheni mzee wa watu ahangaike na yake ya huko aliko, ya huku alishamaliza na tulishaagana naye!!
 
Mbona leo mmekuwa watetezi zaidi wa Kikwete na waoga wa kuirudisha hoja Bungeni??
Kwanini msikubali kuirudisha hoja Bungeni ili Lowasa akatapike sumu Bungeni kusudi ukweli uwe wazi na aibu zibaki kwa serikali??

Ila nyie nanyi ni zaidi ya wendawazimu!!
Kwasababu huwezi kumtenganisha waziri mkuu na serikali wakati waziri mkuu ndiye mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali...
 

 
Wanasiasa sio watu wa kuwaamini ni watu wa kuwaelewa.
Hapa kuna watu wanapata shida maana waliamini fisadi, sasa Wanalazimika kuamini ni Msafi.
Matumizi mabaya ya Imani haya
Afadhali umeliona hili...
 
Unaongea nini wewe??
Mwakyembe kasema kama mnaona mzee wenu alionewa taratibu zinaruhusu, rudisheni hoja ya Richmond bungeni upya, halafu mambo yawekwe hadharani..!!

Hoja ni "Iwapo mwaona Lowasa alionewa..!!" sasa mnaanza kurusharusha miguu, nani kakuambia Mwakyembe ni perfect??

Halafu mnatahadharisha kuhusu Kikwete na kuweka sharti la kuondolewa kinga ya urais...
Kuna nini mnakihofia mpaka muweke vikwazo??
Kwanini msianze kwa kumvua nguo mstaafu kwanza kila kitu kikawa wazi kisha mkapeleka hoja ya kuondoa kinga wakati mnakidhibiti mkononi??
 
Hii yote haisafishi sakata la Richmond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…