Sakata la Spika Mstaafu Ndugai kukupa 'Ukweli' wako ulilikabili Mwenyewe 'Kimadaha' kwanini leo hii Sakata la Mafuta unataka usaidiwe Kusemewa?

Honorary in chief of zayumba.

 
Ashushe mafuta ya kula tupike hata matembele na dagaa mwanza.tutakufa kwa njaa.
 
Naona hata deni ka taifa si haba β€œDeni la Serikali limeongezeka kwa TZS trilioni 7.76, sawa na asilimia 13.7.”

Akiambiwa ukweli anakuwa mkali kuwa anaonewa kwa kuwa ana maumbile ya kike.
Ni bora mama samiah anaweka wazi kuliko yule aliyekuwa anakopa at the same time anatuaminisha "Tunajenga kwa fedha zetu wenyewe" anaficha madeni ya kitaifa kwa msingi gani sijui.
 
Kuna mtu alitabiri humu mama atakua Rais then CHADEMA kuchukua nchi itakua kama mserereko nimeanza kuona dalili. .....
Ukisema Chadema watachukua nchi ni big NO!
Sema upinzani watachukua Nchi.
Chadema walipoteza imani kwa wananchi tangu 2015.
Mpaka sasa hawaeleweki wanacho simamia. Sijui risasi, au demokrasia ama ufisadi au katiba, yaani ni vurugu tupu!
Imekuwa ngumu sana kwao kuongelea matatizo ya wananchi.
 
Wewe kama mambo yako hayaendi wakati huu ambapo pesa ziko mitaani basi elewa kuwa una matatizo binafsi. Ama hujitumi au huelewi maana ya kujituma ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…