Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
😂😂😂😂😂 mbavu zangu daaah
agiza caatle nakuja kulipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂 mbavu zangu daaah
Honorary in chief of zayumba.Mbona Sakata la Mafuta na Wananchi Kulalamika / Kulilalamikia ni rahisi sana Kulifafanua kwa Watanzania ( Wananchi ) na Wakalielewa hata kuliko lile la Spika Mstaafu Ndugai kukupa Ukweli wako kuhusu 'Kukopakopa' hovyo sasa iweje tena leo unataka Watu wakusaidie Kukusemea ili Watanzania wasikulaumu na wasikuone upo upo tu Dar es Salaam, Zanzibar na Dodoma?
An old man with its very impossible #TALES
😂😂😂😂😂 mbavu zangu daaah
agiza caatle nakuja kulipa
Ni bora mama samiah anaweka wazi kuliko yule aliyekuwa anakopa at the same time anatuaminisha "Tunajenga kwa fedha zetu wenyewe" anaficha madeni ya kitaifa kwa msingi gani sijui.Naona hata deni ka taifa si haba “Deni la Serikali limeongezeka kwa TZS trilioni 7.76, sawa na asilimia 13.7.”
Akiambiwa ukweli anakuwa mkali kuwa anaonewa kwa kuwa ana maumbile ya kike.
Ukisema Chadema watachukua nchi ni big NO!Kuna mtu alitabiri humu mama atakua Rais then CHADEMA kuchukua nchi itakua kama mserereko nimeanza kuona dalili. .....
Wewe kama mambo yako hayaendi wakati huu ambapo pesa ziko mitaani basi elewa kuwa una matatizo binafsi. Ama hujitumi au huelewi maana ya kujituma ni nini.Na kweli "mnadunda" maana mambo hayaendi kabisa.
Mama anatawala kwa dharau kubwa akiamini watanganyika ni wasahaulifu kiasi kwamba hata uwafanyie ubaya kiasi gani baada ya muda mfupi wameshasahau.
Historia inamwonesha hivyo...ila atambue shida na taabu ni mwalimu.
Ndio shida ya kukumbatia mafisadi na wauza madawa ya kulevya, hakuna mtu anamuelewa sahivi.
Maliza kwa ualimu.Leo hii Mheshimiwa Rais wetu anaitwa yupoyupo!Haiwezekani aisee.Mods piga ban mtoa mada
Hivi maneno kama haya huwa yanawaumizaje? Na hapo unaweza kukuta mhusika Wala haumiii Ila nyie Sasa chawa. Ila chawa ni watu wajinga sanaPunguza ukali wa Maneno
Mbona huyo kazibaziba mimi ninatusi kubwa kabsa kwa mamaakoLeo hii Mheshimiwa Rais wetu anaitwa yupoyupo!Haiwezekani aisee.Mods piga ban mtoa mada
Sure, wamwache rais afanye yakeAcheni rais afanye kazi yake