Sakata la Tozo: Watawala wakisisitiza lazima zilipwe, wasikilize wananchi pia wanataka nini

Sakata la Tozo: Watawala wakisisitiza lazima zilipwe, wasikilize wananchi pia wanataka nini

Kinacho takiwa ni Ku withdraw pesa zote bank .......wafulahie mapato haafu tusiweke tena kama miezi miwili waanze kulia ........tususe kabisa .......hapa lazima hizi taasisi za pesa zitaandamana Kwanza kabla ya sisi
 
🤣
Sisi watanzania ni waoga. Tutalalamika tu, na viongozi wana jeuri kwa sababu wanajua sisi ni waoga na hakuna tunachoweza kuwafanya, hata kwenye uchaguzi hatuwezi kuwafanya lolote ndio maana ni wajeuri. Tofauti na viongozi wa sehemu nyingine duniani ambao wanasikiliza maoni na kutatua changamoto, pia wakiona mambo magumu wanajiuzulu au uchaguzi unawatoa madarakani. Ila kwa Tanzania hilo haliwezekani maana sisi watanzania (hata mimi) ni waoga sana.

Duniani kote dawa ya viongozi jeuri ni moja tu, kupinduliwa.
🙄🙄Mkuu acha uchochezi,unashawishi watu wafanye uhaini😞,mi sijauchoka ugali,jaribu kuwa chanya kwa sirikali.
MTANZANIA OG.
 
Hakuna mtu muoga kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana. [emoji1787][emoji1787]

Hizi tozo ingekuwa ni nchi zingine za watu wasioogopa, wangeshaipindua serikali siku nyingi mno.
Kwasababu waliishajua udhaifu wetu ndio maana wanadiriki kusema tuhamie Burundi!
 
Sasa hivi hii Serikali ipo madarakani kwa LEGALITY.Lakini LEGITIMACY haina
 
Back
Top Bottom