Sakata la Tozo: Watawala wakisisitiza lazima zilipwe, wasikilize wananchi pia wanataka nini

Kinacho takiwa ni Ku withdraw pesa zote bank .......wafulahie mapato haafu tusiweke tena kama miezi miwili waanze kulia ........tususe kabisa .......hapa lazima hizi taasisi za pesa zitaandamana Kwanza kabla ya sisi
 
๐Ÿ™„๐Ÿ™„Mkuu acha uchochezi,unashawishi watu wafanye uhaini๐Ÿ˜ž,mi sijauchoka ugali,jaribu kuwa chanya kwa sirikali.
MTANZANIA OG.
 
Hakuna mtu muoga kama Mtanzania, hata mimi ni muoga sana. [emoji1787][emoji1787]

Hizi tozo ingekuwa ni nchi zingine za watu wasioogopa, wangeshaipindua serikali siku nyingi mno.
Kwasababu waliishajua udhaifu wetu ndio maana wanadiriki kusema tuhamie Burundi!
 
Sasa hivi hii Serikali ipo madarakani kwa LEGALITY.Lakini LEGITIMACY haina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ