Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kupanga kuchagua
Kuna waliochagua watafia wakiwa makazini, wapo waliochagua wakiwa makazini wanapiga biashara kadhaa, na wale ambao hawapo kote kote.
Kifupi tu, sakata la usaid liwe fundisho kwa mnaoendelea na kazi huko...mjue saa yoyote mwanaadamu anashuka...mkiwa ofisini, mjipange, mtengeneze biashara na mali za kutoshaaa.
Hata wakija na style ya trump, mnaenda kansan kushukuru kwa yote na maisha yanaendelea.
otherwise, kila la kheri na karibuni mtaani... tuendelee na mapambano.