Sakata la USAID, mlio makazini mjifunze kupanga ni kuchagua, msisubiri kiwake mje kuwa Wajasiriamali

Huyuu nahisi anakaribia kufaaa tuliaaa palee ndioo wakiona kama wakoo nusu heaven
1000021826.jpg
 
Hahahaha likizooo untill further notice sikia kwa wenziooooo

Kifupi n fundishooo kwa wafanyakazi WA maofisin tulikuwa na akili mgando

Na apple pakitokea trumpnazation

Wengi waooo huishia kufaa na wengine...........vijanaaa kuanzia kula ungaaa ana KUTUMIA pesa ovyoo kwa kilee kidogo walichopataaaa

Tujipangee mapema

Tusisubiri trump watushukieee

Maana naangalia alajazeera ametokaa kusemaaaaa hapoo ameanzaaa ANAKUJA kufyeka misaada mingi ya afrika

Na ameziita pesa za USAID n pesa za wahuni WEZI wachachee

Minsky akamalizia kwa kuharibu kabisaa loh
 
Amesema Africa tumekuwa wajinga sana kutegemea misaada yao haiwezakan unasaidia watu miaka 30 yrs bado awajui kujisaidia...YAAN miaka yotee unapokea tuuu

Na amesema hizo pesa n kodi za wamerakn na n wakati wao sasaa Kufanya maendeleoo kupitia Kodi zaooo
 
Kupanga kuchagua

Kuna waliochagua watafia wakiwa makazini, wapo waliochagua wakiwa makazini wanapiga biashara kadhaa, na wale ambao hawapo kote kote.

Kifupi tu, sakata la usaid liwe fundisho kwa mnaoendelea na kazi huko...mjue saa yoyote mwanaadamu anashuka...mkiwa ofisini, mjipange, mtengeneze biashara na mali za kutoshaaa.

Hata wakija na style ya trump, mnaenda kansan kushukuru kwa yote na maisha yanaendelea.

otherwise, kila la kheri na karibuni mtaani... tuendelee na mapambano.
Pata tatizo ujue tabia za wabongo hii ndio hali halisi sasa nongwa muda wote ili stress zituue mm nawaambia tu hatutakufa..

Ila imeniuma yaani hadi website imefutwaa yule baba anaroho mbaya sana sana.
 
Haiwezekani wajasiriamali wàfanye biashara na wafanyakazi nao wàfanye biashara.
Mbona nyinyi wajasiriamali hamuendi kuajiriwa?
Dunia hàiwezi Kuwa na watu wote wanatanya shughuli moja.
 
Kuna kitu wengi hawajajua hawa jamaa wa NGOs wengi contracts zao huwa ni mwaka mmoja mmoja na hata miradi yao huwa ni ya muda fulani. Hivyo maisha yao muda wote wamejiandaa kupigwa chini tofauti na ajira nyingi za serikali zenye permanent contracts.

Sidhani kama wengi wataadhirika sanaa kiasi cha kuuza magenge mtaani kama tunavyofikiria.
 
Haiwezekani wajasiriamali wàfanye biashara na wafanyakazi nao wàfanye biashara.
Mbona nyinyi wajasiriamali hamuendi kuajiriwa?
Dunia hàiwezi Kuwa na watu wote wanatanya shughuli moja.
Hahahaha mkuuu KUNA mabosi ukoo nao huko Wana biashara balaaaaa
Kama huamini subiri helà za nssf ama psssf
 
Pata tatizo ujue tabia za wabongo hii ndio hali halisi sasa nongwa muda wote ili stress zituue mm nawaambia tu hatutakufa..

Ila imeniuma yaani hadi website imefutwaa yule baba anaroho mbaya sana sana.
Mkuuuu

Zilee pesa nyingii zimeliwa na viomgozi waooo na wahuni wachachee

Fwatiliaa utaelewa kwa nn kaitaa pesa za kikundi cha wahuni na majambazi

Wale wanajiita na ukimwi ndioo balaaa kabisaa pesa za ukimwi zimepigwaa sanaaaa

Vijijin watyuu wanasainishwa semina jina na Saini SEHEMU za pesa azijaandikwaa wanapewa bk 3000. Mwishoo zinaandikwa 30000 each aisee zile LAANA azitowaachaaa
 
Watu hawajui kuwa NGOs zinapata funding sehemu nyingi, si USAID tu?

Na hawajui kuwa kuna watu wengine wako kwenye NGOs kwa sababu hizo ndizo taaluma zao na wanataka kusaidia jamii pia, sio kupiga pesa tu?
Oyawee wapo huko kucheza na 10 to 11 figures za mishahara na marupurupu nothing else
 
Kupanga kuchagua

Kuna waliochagua watafia wakiwa makazini, wapo waliochagua wakiwa makazini wanapiga biashara kadhaa, na wale ambao hawapo kote kote.

Kifupi tu, sakata la usaid liwe fundisho kwa mnaoendelea na kazi huko...mjue saa yoyote mwanaadamu anashuka...mkiwa ofisini, mjipange, mtengeneze biashara na mali za kutoshaaa.

Hata wakija na style ya trump, mnaenda kansan kushukuru kwa yote na maisha yanaendelea.

otherwise, kila la kheri na karibuni mtaani... tuendelee na mapambano.
Kuna watu nilikuwa naongea nao leo wanasema wamepewa barua ya kusitiahiwa mikataba yao ndani ya siku 90
 
Back
Top Bottom