Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Pamoja na maelfu kupoteza ajira....
1. Kumbuka nao walikua wana wategemezi wao.
2. Kuna maelfu ya vendors wamepoteza malipo.
3. Kuna watu wamepoteza mitaji kwa uwekezaji wakitegemea tenda na kadhalika.
4. Kuna wafanya biashara wengi wanaenda kuharibikiwa na vitu walivyo nunua/stock wakijua watatumia kwenye kazi/tenda za mashirika.
5. HIV imeingia katika karibu kila familia na hawa watakua waathirika wakubwa kwasababu sidhani kama wengi wetu tutaweza kumudu gharama za kuwasaidia wapendwa wetu.