binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Na pia wamezoea sababu kila baada ya miaka 3-5 or 7 ya kuphase out miradi (iliyomingi) Huwa tunarudi mitaani na kutafuta kazi upya. Au kabla miradi haijaisha huwa tuko kujump ikiwa mtu umefanikiwa kusecure kazi nyingine.Wengi wao wana savings za kutosha kwenye mutual funds so i think they will just be okay. Pia uzoefu wao kwenye NGOs unawafanya wawe marketable kwenye NGOs nyingine ambazo hazipati funding from the US.