Sakata la USAID, mlio makazini mjifunze kupanga ni kuchagua, msisubiri kiwake mje kuwa Wajasiriamali

Sakata la USAID, mlio makazini mjifunze kupanga ni kuchagua, msisubiri kiwake mje kuwa Wajasiriamali

Mimi hata sielewi kuna jamaa twitter niliona anasema acha wafutwe tu aliporwa manzi yake na jamaa yuko USAID ...nafikiri ni ishu binafsi mbali mbali🐼
Wale za watyuuu wameliaaa sana mkuu mabosi hawkuchekaa na kima HATA kidogooo

Hasaa wale WA NGOs za ukimwi weeee balaaaa..hadi wachumba walisafishwaa...

Infact kawaida ofisi nyingi sema mwamba akutakiwa kulalamikia Hilo maana Lina mbadala na yeye angekula WA pemben
 
USAID

Ntakukumbuka sana na ulinzi WA afya zetyu hasa kwenye condom dah

Wengine tulikuwa tuna helĆ  za lodge/mizigooo na nauli tyu ukifika lodge ukazikutya zile unaona uhai huoo umerudi
 
Watz wengi wachawi tu. Kutwa kuombea wenzao mabaya. Btw kuna watu ni wakuajiriwa tu hawezi chochote nje ya hapo hata pipi za 3 mia hawezi kuuza
 
Hivi unajua USA AID ilikuwa inafadhili NGO ngapi kulinganisha na hao wengine?
Watu hawajui kuwa NGOs zinapata funding sehemu nyingi, si USAID tu?

Na hawajui kuwa kuna watu wengine wako kwenye NGOs kwa sababu hizo ndizo taaluma zao na wanataka kusaidia jamii pia, sio kupiga pesa tu?
 
Hivi unajua USA AID ilikuwa inafadhili NGO ngapi kulinganisha na hao wengine?
Kama mtu anafanya kazi kwa passion yake na nia ya kusaidia watu, swali lako halina mantiki.

Kwa sababu mtu atapambana kutimiza malengo yake, atatafuta funding kwingine au kujua kuendeleza kazi kwa model mpya.

Mfano, USAID walikuwa wanatoa msaada wa ARV. Wamesaidia sana. Sasa wanakatisha misaada. Lakini kuna option ya ARVs za Kenya, za India, kuna wafadhiki wengine wanakuja ku cover USQID walipoacha pengo.

Kwa hiyo USAID kuondoa misaada ni changamito, lakini si mwisho wa dunia.

Inaweza kuwa hata ni changamoto nzuri inayotuamsha yujue kujipanga kujitegemea vizuri zaidi.

Tatizo mnaangalia hizi kazi kama sehemu za kupiga hela na kupata ulaji tu.
 
Kuna International NGOs kama JHPIEGO zilikuwa zinapata funds kupitia USAID lakini hawakuweka mayai yote kwenye chungu kimoja. Wanafanya na COMIC, JIKA, BRITISH AID, DANIDA nk. Pipo bado zitaishi, tuache kufurahia watu wakiumia kiuchumi.
 
Back
Top Bottom