Fungua genge uza nyanya tutanunua mkuu USAID ndio gudubaiAisee,hili balaa
Yaan mapema kabisaFungua genge uza nyanya tutanunua mkuu USAID ndio gudubai
Upeo mdogo na roho mbaya kwa watanzania walio wengi.Watu hawajui kuwa NGOs zinapata funding sehemu nyingi, si USAID tu?
Na hawajui kuwa kuna watu wengine wako kwenye NGOs kwa sababu hizo ndizo taaluma zao na wanataka kusaidia jamii pia, sio kupiga pesa tu?
MDH ndio waathirika namba mbili kuumizwa na TrumpKuna jamaa mmoja alikuwa MDH ana mawe kinoma alikuwa ana-push LC 300 Series kama ya Lugumi sasa sijajua kwasasa ana hali gani.
Halafu mbona malipo yanaendelea tu mkuuMDH ndio waathirika namba mbili kuumizwa na Trump
Aisee ilikuwa ya mradi au ya kwake binafsi ?...kuna maada hapa kijiweni tulikuwa tunabishana kuwa hakuna kazi ya kuajiriwa unaweza kulipwa kibongo bongo ukaendesha gari binafsi kama hizo isipokuwa siasaKuna jamaa mmoja alikuwa MDH ana mawe kinoma alikuwa ana-push LC 300 Series kama ya Lugumi sasa sijajua kwasasa ana hali gani.
Malipo yapiHalafu mbona malipo yanaendelea tu mkuu
Mkuuuuu KUPANGA kuchaguaaaTutaheshimiana sasa hivi waanze kuunza magenge tu ajira kushnei
Huyuu nahisi anakaribia kufaaa tuliaaa palee ndioo wakiona kama wakoo nusu heavenAisee ilikuwa ya mradi au ya kwake binafsi ?...kuna maada hapa kijiweni tulikuwa tunabishana kuwa hakuna kazi ya kuajiriwa unaweza kulipwa kibongo bongo ukaendesha gari binafsi kama hizo isipokuwa siasa
Ninapenda sana kusaidia jamii, hususan watoto ambao baba zao wapo jela.Watu hawajui kuwa NGOs zinapata funding sehemu nyingi, si USAID tu?
Na hawajui kuwa kuna watu wengine wako kwenye NGOs kwa sababu hizo ndizo taaluma zao na wanataka kusaidia jamii pia, sio kupiga pesa tu?