Mimi hata sielewi kuna jamaa twitter niliona anasema acha wafutwe tu aliporwa manzi yake na jamaa yuko USAID ...nafikiri ni ishu binafsi mbali mbali🐼Hivi USAID ndio taasisi ya kwanza watu kupunguzwa? Mbona imekuwa issue sana?
Ni wivu tu.Mimi hata sielewi kuna jamaa twitter niliona anasema acha wafutwe tu aliporwa manzi yake na jamaa yuko USAID ...nafikiri ni ishu binafsi mbali mbali🐼
Itakua ilikua ina waajiri wengi wapo humuHivi USAID ndio taasisi ya kwanza watu kupunguzwa? Mbona imekuwa issue sana?
MI alipotangazaa ana MPANGO WA kuifwtaaaa nkaenda kubeba zigoo la maana la condom yaaan sinza wanakazi na mm Badoo Wala wasifurahie kuondoska USAIDHakuna cha masikini hapa unaongelewa uhalisia wa mambo ila Condom za bure zilitusevu sana USAID Zana
Wale za watyuuu wameliaaa sana mkuu mabosi hawkuchekaa na kima HATA kidogoooMimi hata sielewi kuna jamaa twitter niliona anasema acha wafutwe tu aliporwa manzi yake na jamaa yuko USAID ...nafikiri ni ishu binafsi mbali mbali🐼
Mwisho kabisa yote yanaangukia kwenye wivu 🤣Ni wivu tu.
Hozo ndo wazwinzwi watauziwa hadi zilizo koshwaMI alipotangazaa ana MPANGO WA kuifwtaaaa nkaenda kubeba zigoo la maana la condom yaaan sinza wanakazi na mm Badoo Wala wasifurahie kuondoska USAID
Na jamboo naooo madada mpaka iishee
Wana-ccm wanasema Donald Trump ameshauvuruga huu mwaka. Donald Trump ana trend kila kona ya dunia sio Tanzania peke yake.Kila kona ya dunia wanalihisi joto la Trump.Hivi USAID ndio taasisi ya kwanza watu kupunguzwa? Mbona imekuwa issue sana?
WARUDI KWENYE ZA KI MILA HUKO NA WAACHE KULA MAZAO YA WANYAMAKwa sasaaa kwa kweli naona jamaa kaamua kuongeza eneo la mazikoo afrika yetyuu sio kitotoo
Watu hawajui kuwa NGOs zinapata funding sehemu nyingi, si USAID tu?
Na hawajui kuwa kuna watu wengine wako kwenye NGOs kwa sababu hizo ndizo taaluma zao na wanataka kusaidia jamii pia, sio kupiga pesa tu?
Taasisi hizo walikuwa wanakula maisha sasa si unajua watu wengi hawapendi kuona rafiki zao waliosoma au kukua nao wakiishi maisha ya juu kuliko waoHivi USAID ndio taasisi ya kwanza watu kupunguzwa? Mbona imekuwa issue sana?
Kama mtu anafanya kazi kwa passion yake na nia ya kusaidia watu, swali lako halina mantiki.Hivi unajua USA AID ilikuwa inafadhili NGO ngapi kulinganisha na hao wengine?
Kwani mnafurahi wenzenu wakianguka?Tutaheshimiana sasa hivi waanze kuunza magenge tu ajira kushnei