Namba 5 mkuu wanaweza survive ila tu. Kubugia makorokocho ndo waache .Pamoja na maelfu kupoteza ajira....
1. Kumbuka nao walikua wana wategemezi wao.
2. Kuna maelfu ya vendors wamepoteza malipo.
3. Kuna watu wamepoteza mitaji kwa uwekezaji wakitegemea tenda na kadhalika.
4. Kuna wafanya biashara wengi wanaenda kuharibikiwa na vitu walivyo nunua/stock wakijua watatumia kwenye kazi/tenda za mashirika.
5. HIV imeingia katika karibu kila familia na hawa watakua waathirika wakubwa kwasababu sidhani kama wengi wetu tutaweza kumudu gharama za kuwasaidia wapendwa wetu.
Hii chuki binafsiTutaheshimiana sasa hivi waanze kuunza magenge tu ajira kushnei
Tufuge kuku wa kisasa maana ndio project ambayo haiumizi kichwaHii chuki binafsi
Hakuna anaefurahiKwani mnafurahi wenzenu wakianguka?
Doing time behind barsJela hii jea au ni jela ya wamama wengine
OkDoing time behind bars
Umeandika vizuri sana ila tatizo ni hawa vijana wengi humu kwenye mitandao wanatafuta attention tu. Unakuta mtu anaanzisha uzi kama huu kumbe kwenye ukoo wake kuna karibu ndugu wanne au watano wanatumia hizi ARV za msaada wa Marekani na pengine hata kenyewe hakajua (Maturity).Pamoja na maelfu kupoteza ajira....
1. Kumbuka nao walikua wana wategemezi wao.
2. Kuna maelfu ya vendors wamepoteza malipo.
3. Kuna watu wamepoteza mitaji kwa uwekezaji wakitegemea tenda na kadhalika.
4. Kuna wafanya biashara wengi wanaenda kuharibikiwa na vitu walivyo nunua/stock wakijua watatumia kwenye kazi/tenda za mashirika.
5. HIV imeingia katika karibu kila familia na hawa watakua waathirika wakubwa kwasababu sidhani kama wengi wetu tutaweza kumudu gharama za kuwasaidia wapendwa wetu.
Kabisa bro, yaani hii USAID imechora picha vizuri kwamba wabongo wengi hawana uelewa mkubwa na Wana roho mbaya mno.Watu hawajui kuwa NGOs zinapata funding sehemu nyingi, si USAID tu?
Na hawajui kuwa kuna watu wengine wako kwenye NGOs kwa sababu hizo ndizo taaluma zao na wanataka kusaidia jamii pia, sio kupiga pesa tu?
Atakuwa anapanda bajaji, wewe utakuwa na IST, yaan unafurahia mwenzio kukwamaKuna jamaa mmoja alikuwa MDH ana mawe kinoma alikuwa ana-push LC 300 Series kama ya Lugumi sasa sijajua kwasasa ana hali gani.
Yes mfano sisi tuna donors watatu akiwemo na USAID mwenyewe, pamoja na sekeseke hili, last week tulipokea new rates za ongezeko la Per diems.Watu hawajui kuwa NGOs zinapata funding sehemu nyingi, si USAID tu?
Na hawajui kuwa kuna watu wengine wako kwenye NGOs kwa sababu hizo ndizo taaluma zao na wanataka kusaidia jamii pia, sio kupiga pesa tu?