Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Kwa kweli Will mwenyewe ndio ana majibu [emoji16][emoji16] ila hata ningekua mm jamaa angechezea mabanzi tuNi makubaliano ni open marriage kila mtu anaweza kula na kuliwa. Sasa kama mtu anaweza vumilia hilo anashindwaje vumilia utani kidogo jamani