Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

Jwtz vipi maana kuna scenerio naifahamu ya jamaa yangu sijui atapona
 
hivi yule alie kua kamanda wao hapo moshi na kwa sasaa yupo Tabora anaitwa nani vile
 
HAKI YA MUNGU, MAGU AKIWAGUSA WIZARA YA ULINZI NAHAMIA CCM, KESHO!! NA 2020 KURA NI YAKE.
 
Nmecheki kwa mdau flani kaniambia ni kweli kituo chao pia wamepelekewa ila jw hakuna
Duh balaa basi itakuwa maana hko cheti cha mtu mmoja kinatumiwa na watu 20

Ova
 
Polis wenyew wachache kila siku wanauliwa ebu waacheni ..kwanz upolis na fom 4 WAP na WAP...kikubwa ulinzi hivo vyeti havitatulinda sisi
 
Police na jwtz wasiwaguse kwanza maana wakiwapiga chini mitaani hku itakuwa shida..

Ova
Kweli kabsa, bora Mara mia police
Hao jwtz hmhhhh wengineo walishawahi kwenda Congo kulinda aman unafikiri itakuwaje sasa c kila kona mtaanzisha kanda maalaum
 
Watakuwa wanawaonea basi hata wenye VYETI vya la saba nao wafukuzwe mbona wapo huko serikalini na wanalipwa mshahara mkubwa kuliko hata waliosoma mpaka six?wapo wa lasaba wengi serikalini hasa mashirika ya umma hawana hata na fani watimuliwe tu
 
Kama hii habari ni kweli akiingia wizara ya ulinzi kisha akamalizia na Bashite naamia CCM muda huu na kadi naenda kuchukua.
 
Polis wenyew wachache kila siku wanauliwa ebu waacheni ..kwanz upolis na fom 4 WAP na WAP...kikubwa ulinzi hivo vyeti havitatulinda sisi

Tatizo makanjanja ndio kubambikizia kesi watu kila uchao!!
 
Hahaha...Huyu nae alikuwa na vyeti fake..... Marais wote wa awamu ya 2015 ni kazi kazi
maxresdefault.jpg
 
Back
Top Bottom