Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa chako unafugia nywele na kubeba meno tu, huna akili hata ya kuvukia barabara.Wamasai siyo watu special,ardhi ni Mali ya serikali,Kama serikali imeona Kuna manufaa kuwahamisha wahame waende huko arable land
Aisee wewe ndo pumbavuuu kabisa,wanyama walikuwepo kabla ya masai.Masai walimove kutoka Kenya eneo la Masaimara wakajongea Serengeti kwa lengo la kutafuta malisho na maji kwa ajili ya mifugo yao.Serikali ya kikoloni ikaona ni vyema Serengeti ibaki kama National Park ikabidi wahamishiwe eneo la Ncaa kusudi Ncaa iwe km land multiple use na kumbuka kipindi hicho inakadiriwa walikuwa km wamasai 3000 tu wakiwa na mifugo michache ambayo isingeweza kuathiri eneo la ncaa.Kumbuka hayo yalikuwa mawazo ya mkoloni Mwingereza ambae nae hakuwaza mbele kuwa hawa pia ni binadamu kuna kuzaliana,mifugo k uzaliana n.k.Leo tunaongelea Masai zaidi ya 150000 na mifugo zaidi ya 1m,so wame- suffocate eneo la wanyama asili waliowakuta,wanyama asili wamehama maeneo yao kwa kukosa malisho na maji.Wewe ndio mtu special sio?
Embu toa upumbavu wako hapo
Kama serikali iliweza kuhamishia wanyama pori burigi chato.
Watafute pori jingine wawahamishie hao wanyama wawaache wamasai nao ni binadamu kama Mimi na we we.
Nyie binadamu mliopata madaraka ya kuongoza acheni ulevi wa madaraka. na kuonea binadamu wenzenu
Kwangu Mimi binadamu mwezangu ni muhimu kulipo mnyama hata biblia inasema hivyo
Inaonekana una upeo na hili jambo, je kuna ukweli kwamba kuna Mwarabu kauziwa kitalu hapo?Aisee wewe ndo pumbavuuu kabisa,wanyama walikuwepo kabla ya masai.Masai walimove kutoka Kenya eneo la Masaimara wakajongea Serengeti kwa lengo la kutafuta malisho na maji kwa ajili ya mifugo yao.Serikali ya kikoloni ikaona ni vyema Serengeti ibaki kama National Park ikabidi wahamishiwe eneo la Ncaa kusudi Ncaa iwe km land multiple use na kumbuka kipindi hicho inakadiriwa walikuwa km wamasai 3000 tu wakiwa na mifugo michache ambayo isingeweza kuathiri eneo la ncaa.Kumbuka hayo yalikuwa mawazo ya mkoloni Mwingereza ambae nae hakuwaza mbele kuwa hawa pia ni binadamu kuna kuzaliana,mifugo k uzaliana n.k.Leo tunaongelea Masai zaidi ya 150000 na mifugo zaidi ya 1m,so wame- suffocate eneo la wanyama asili waliowakuta,wanyama asili wamehama maeneo yao kwa kukosa malisho na maji.
Leo wamasai wajanja wamejenga nyumba za kudumu badala ya zile za Manyatta,.
Kibaya zaidi maasai matajiri walioko mijini wamehamishia mifugo yao hifadhini kwa ndugu zao.
Lengo la uhifadhi ni kuhakikisha vijukuu na vitukuu vyako vinaona hawa wanyamapori,husiwe mbinafsi na kuangalia karibu km nguruwe.
Wametafutiwa eneo potential lenye mahitaji yote muhimu sana tena kuliko Ncaa halafu bado unalalamika???Yaani km mkoloni alikosea kuwasukuma Ncaa aidha kwa maslahi yake na sisi tuendelee na mawazo yake na makosa yake?Hii ni nchi yetu wote na keki inayopatikana huko ni yetu wote.Anyway km Wamasai wangehamishiwa jangwani hata mimi ningelikuwa upande wako.
Ni rahisi ku create Ngorongoro crater na ziwa? Kwa hiyo watumie hela ya mafisadi kujenga Park ingine? Be serious. Siungi mkono serikali kutumia mabavu, lakini inabidi kama inatekeleza amri halali.Hello Great Thinkers..
HIli sakata limenisikitisha sana,
Kuona Mzee mtu mzima akipigwa kwa sababu tu anatetea ardhi yake, sehemu aliyokulia na kuipenda Maisha yake yote, his livelihood kisa tu serikali imeona pana potential ya kutengeneza income is not right..
Nimeandika topic hii ili kama mna mawazo/ideas wapi pana Potential serikali ipeleke nguvu zake huko...( best alternatives),
Mimi naanza, tuanze na eneo letu kubwa tu Arable land kwa ajili ya kilimo, Nadhani hii ni area mojawapo haijawa fully exhausted.
Kuachia this untapped resource Freely halafu kwenda kushikiana mtutu na kumwaga damu za watu eti kwa vile tu sehemu itaingiza income, hapana kwa kweli si sahihi.
Kisha msinicheke, kama wanyama wanahamishwa wengine wanapelekwa Nje, haiwezekani kujenga Park Nyingine? kinachohitajika ni nini? si wanyama, miti,ziwa, hivi vitu mbona vinakuwa created easily tu..LOL...hii ni gharama sana kuliko kuhamisha Wamasai ila hakuna gharama kama uhai wa mtu, unakufa leo unaweza kubargain na Sir God akuongezee hata one minute? kwa nini watu wanakuwa na guts watu wengine wauwawe ili kulinda tu ' interests' zao...?!
Tena msiseme hamna funds za kujenga Park nyingine, mafisadi mna hela za kutisha tuu... wengine zimewazidi mnaweka hadi kwenye makontena! 😀 😀 😳 😳 😳 ,
Anyway i know sometimes nahorojeka humu, but im sending my message kwa serikali itafute na kutumia resources zake vizuri, Kisha sio kutumia mabavu kwenye sehemu ya maelewano tu na kutumia logic...!
Anyway kama great thinkers, kulaumu kwa yanayotokea haisaidii..
So, i humble request kama unajua tufanye nini, au wapi serikali inaweza kuinvest bila kumwaga damu..
Then pataje,
Becky....
Hio itakuwa complicated, sema wanao support huu upuuzi wa serikali wanasema sababu kuu ni kuhidhi wanyama, sasa kwa nini Park nyingine isitengenezwe...?Ni rahisi ku create Ngorongoro crater na ziwa lake? Kwa hiyo watumie hela ya mafisadi kujenga Park ingine? Be serious. Siungi mkono serikali kutumia mabavu, lakini inabidi kama inatekeleza amri halali.
Sirikali sio ya ki sport sportHawahami ng'o!
Stupid mindWamasai siyo watu special,ardhi ni Mali ya serikali,Kama serikali imeona Kuna manufaa kuwahamisha wahame waende huko arable land
Achana na Huyo Mwongo No.1 wa Taifa. Waziri Mkuu ni cheo kikubwa kutumika kama Spin Doctor. Angekuwa Waziri wa Habari, Msemaji wa serikali au hata Waziri wa maliasili Sawa, lakini siyo uongo wa kipuuzi kama ule usemwe na Waziri Mkuu.Alichokuwa anakisemea PM bungeni yaan sijamwelewa kabisa ! mtu kaonekana damu inatoka kwenye mguu,katika maelezo yake haoneshi nini kimesababisha hadi yule mzee miguuni aonekane anavuja damu ,ni kama askari aliyefundishwa namna ya kupiga risasi kwenye miguu but PM anadai the whole scenario has been fabricated ! duhhh hii nchi ngumu sana kuishi aisee
Nchi hii hakuna jamii ngumu na yenye ubishi kama WAMAKONDE, hao wamakonde wako na umoja zaidi ya uonavyo, na nikuambie hakuna sehemu serikali nchi hii imewahi kupeleka vifaru kwenye mzozo wa raia ni Mtwara tu, nako walitulizwa, sembuse hao Mbuzi wasio na akili??Hawahami ng'o!
Mbona watu wa kipawa walihamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege Wanaharakati mlikuwa wapi? watu wamehamishwa kurasini kupisha bandari, watu wamehamishwa kupisha mradi wa gesi songosongo mlikuwa wapi kupiga mikelele? Leo watu walihamishwa ngorongoro mnajitia wazimu kumbukeni hakuna mwenye hati miliki ya aridhi katika nchi hii kama watu wengine Wana hamishwa na kupewa fidia kwanini kwao ishindikane Wanaharakati sikuzote penye ulaji ndiyo Huwa mnafanya kampeni maana mnajua hapo Kuna kitu mtapata kupitia NGOs zenuHello Great Thinkers..
HIli sakata limenisikitisha sana,
Kuona Mzee mtu mzima akipigwa kwa sababu tu anatetea ardhi yake, sehemu aliyokulia na kuipenda Maisha yake yote, his livelihood kisa tu serikali imeona pana potential ya kutengeneza income is not right..
Nimeandika topic hii ili kama mna mawazo/ideas wapi pana Potential serikali ipeleke nguvu zake huko...( best alternatives),
Mimi naanza, tuanze na eneo letu kubwa tu Arable land kwa ajili ya kilimo, Nadhani hii ni area mojawapo haijawa fully exhausted.
Kuachia this untapped resource Freely halafu kwenda kushikiana mtutu na kumwaga damu za watu eti kwa vile tu sehemu itaingiza income, hapana kwa kweli si sahihi.
Kisha msinicheke, kama wanyama wanahamishwa wengine wanapelekwa Nje, haiwezekani kujenga Park Nyingine? kinachohitajika ni nini? si wanyama, miti,ziwa, hivi vitu mbona vinakuwa created easily tu..LOL...hii ni gharama sana kuliko kuhamisha Wamasai ila hakuna gharama kama uhai wa mtu, unakufa leo unaweza kubargain na Sir God akuongezee hata one minute? kwa nini watu wanakuwa na guts watu wengine wauwawe ili kulinda tu ' interests' zao...?!
Tena msiseme hamna funds za kujenga Park nyingine, mafisadi mna hela za kutisha tuu... wengine zimewazidi mnaweka hadi kwenye makontena! [emoji3] [emoji3] 😳 😳 😳 ,
Anyway i know sometimes nahorojeka humu, but im sending my message kwa serikali itafute na kutumia resources zake vizuri, Kisha sio kutumia mabavu kwenye sehemu ya maelewano tu na kutumia logic...!
Anyway kama great thinkers, kulaumu kwa yanayotokea haisaidii..
So, i humble request kama unajua tufanye nini, au wapi serikali inaweza kuinvest bila kumwaga damu..
Then pataje,
Becky....
Kama ile ya Chato? Kuna kitu kinaitwa ikologia ndio maana ni nadra kuona ngamia TanzaniaHio itakuwa complicated, sema wanao support huu upuuzi wa serikali wanasema sababu kuu ni kuhidhi wanyama, sasa kwa nini Park nyingine isitengenezwe...?
Nchi hii hakuna jamii ngumu na yenye ubishi kama WAMAKONDE, hao wamakonde wako na umoja zaidi ya uonavyo, na nikuambie hakuna sehemu serikali nchi hii imewahi kupeleka vifaru kwenye mzozo wa raia ni Mtwara tu, nako walitulizwa, sembuse hao Mbuzi wasio na akili??
Pale ambapo ustaarabu unakosekana basi UKATILI utaingia.
Sasa ww wadanganye afu waone mbungi la Serikali. Wewe umetulia kwa mumeo unakula kuni, wenzako wanavunjwa miguu.
Mkuu yaani hao waraabu tunaopeleka wanyama wao wana mazingira mazuri zaidi kwa hao wanyama kushinda sisi?????????? kwanza hata huko hizo Park watakazoweka hizo wanyama wengi zitakuwa man made,,,,,,Kama ile ya Chato? Kuna kitu kinaitwa ikologia ndio maana ni nadra kuona ngamia Tanzania
Sina NGO mimi (wish ningekuwepo nayo, LOL),Mbona watu wa kipawa walihamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege Wanaharakati mlikuwa wapi? watu wamehamishwa kurasini kupisha bandari, watu wamehamishwa kupisha mradi wa gesi songosongo mlikuwa wapi kupiga mikelele? Leo watu walihamishwa ngorongoro mnajitia wazimu kumbukeni hakuna mwenye hati miliki ya aridhi katika nchi hii kama watu wengine Wana hamishwa na kupewa fidia kwanini kwao ishindikane Wanaharakati sikuzote penye ulaji ndiyo Huwa mnafanya kampeni maana mnajua hapo Kuna kitu mtapata kupitia NGOs zenu
Umepata wapi taarifa kama wanataka kupewa waarabu? hoja ni kupunguza shughuri za kibinadamu kutunza ikolojia kwa miaka mingi ijayo, Waarabu wameingiaje? au unaingizwa king na Kigogo?Mkuu yaani hao waraabu tunaopeleka wanyama wao wana mazingira mazuri zaidi kwa hao wanyama kushinda sisi?????????? kwanza hata huko hizo Park watakazoweka hizo wanyama wengi zitakuwa man made,,,,,,