Sakata la Wamasai Ngorongoro; Tuisaidie Serikali kuona 'Alternatives'

Sakata la Wamasai Ngorongoro; Tuisaidie Serikali kuona 'Alternatives'

Alichokuwa anakisemea PM bungeni yaan sijamwelewa kabisa ! mtu kaonekana damu inatoka kwenye mguu,katika maelezo yake haoneshi nini kimesababisha hadi yule mzee miguuni aonekane anavuja damu ,ni kama askari aliyefundishwa namna ya kupiga risasi kwenye miguu but PM anadai the whole scenario has been fabricated ! duhhh hii nchi ngumu sana kuishi aisee
Picha ya mwaka gani? Yanaweza kuwa mapigano ya miaka iliyopita. Wapotoshaji wanatumia njia zozote zile kutekeleza azma yao. Serikali imeonyesha uvumilivu mkubwa kwenye hili swala la Ngorongoro, vile vile imeonyesha ina nia njema ya kuwasaidia wakazi wa huko.
 
Kichwa chako unafugia nywele na kubeba meno tu, huna akili hata ya kuvukia barabara.

Ubongo wako umejaa fungus na una kaswende ya ubongo.
Bulyang'hulu 1990s watu walihama kupisha mgodi,wanadai watahama tu
 
Wewe ndio mtu special sio?
Embu toa upumbavu wako hapo
Kama serikali iliweza kuhamishia wanyama pori burigi chato.
Watafute pori jingine wawahamishie hao wanyama wawaache wamasai nao ni binadamu kama Mimi na we we.
Nyie binadamu mliopata madaraka ya kuongoza acheni ulevi wa madaraka. na kuonea binadamu wenzenu
Kwangu Mimi binadamu mwezangu ni muhimu kulipo mnyama hata biblia inasema hivyo
Wasukuma walihamishwa bulyng'hulu kupisha mgodi,na wengine kufukiwa na magreda,wamasai siyo special
 
Hello Great Thinkers..

HIli sakata limenisikitisha sana,

Kuona Mzee mtu mzima akipigwa kwa sababu tu anatetea ardhi yake, sehemu aliyokulia na kuipenda Maisha yake yote, his livelihood kisa tu serikali imeona pana potential ya kutengeneza income is not right..

Nimeandika topic hii ili kama mna mawazo/ideas wapi pana Potential serikali ipeleke nguvu zake huko...( best alternatives),

Mimi naanza, tuanze na eneo letu kubwa tu Arable land kwa ajili ya kilimo, Nadhani hii ni area mojawapo haijawa fully exhausted.

Kuachia this untapped resource Freely halafu kwenda kushikiana mtutu na kumwaga damu za watu eti kwa vile tu sehemu itaingiza income, hapana kwa kweli si sahihi.

Kisha msinicheke, kama wanyama wanahamishwa wengine wanapelekwa Nje, haiwezekani kujenga Park Nyingine? kinachohitajika ni nini? si wanyama, miti,ziwa, hivi vitu mbona vinakuwa created easily tu..LOL...hii ni gharama sana kuliko kuhamisha Wamasai ila hakuna gharama kama uhai wa mtu, unakufa leo unaweza kubargain na Sir God akuongezee hata one minute? kwa nini watu wanakuwa na guts watu wengine wauwawe ili kulinda tu ' interests' zao...?!

Tena msiseme hamna funds za kujenga Park nyingine, mafisadi mna hela za kutisha tuu... wengine zimewazidi mnaweka hadi kwenye makontena! 😀 😀 😳 😳 😳 ,

Anyway i know sometimes nahorojeka humu, but im sending my message kwa serikali itafute na kutumia resources zake vizuri, Kisha sio kutumia mabavu kwenye sehemu ya maelewano tu na kutumia logic...!

Anyway kama great thinkers, kulaumu kwa yanayotokea haisaidii..

So, i humble request kama unajua tufanye nini, au wapi serikali inaweza kuinvest bila kumwaga damu..

Then pataje,

Becky....
Hakuna cha alternative,utahamisha hifadhi badala ya Masai?

Mkuu njia ya eviction hufanyika Duniani kote kwa ajili ya Uhifadhi kuanzia Asia,Africa hadi America na Masai sio wa kwanza kuhamishwa..

Mbona watu wamehamishwa kupisha uwekezaji wa migodi? Mbona watu wamehamishwa kwenye misitu ya serikali,vyanzo vya maji? Mbona Vijijini zaidi ya 8 vilivunjwa na watu kuhamishwa wakati wa upanuzi hifadhi ya Ruaha?

Wao wanadinda nini ikiwa wameandaliwa pahala pa kwenda na huduma zote zimewekwa? 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220611-081458.png
    Screenshot_20220611-081458.png
    98.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220611-081546.png
    Screenshot_20220611-081546.png
    123 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220611-081603.png
    Screenshot_20220611-081603.png
    67.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220611-081135.png
    Screenshot_20220611-081135.png
    156.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220611-084348.png
    Screenshot_20220611-084348.png
    41.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220611-084421.png
    Screenshot_20220611-084421.png
    369.2 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220611-084455.png
    Screenshot_20220611-084455.png
    308.9 KB · Views: 2
The problem ni kwamba hatuwezi kupambana na serikali!!Hilo tu
 
Waamasai Watamkumbuka Tate Ole Nasha,Hivi Mbunge wa Ngorongoro kwa sasa ni nani?
 
Tanzania hakuna serikali!?..wajibu wa raia kwa serikali no nini!?..Tanzania hakuna Sheria!?..Sheria inasemaje kuhusu ardhi!?
Sheria ya Tanzania ni kwamba ardhi ni mali ya umma na serikali wanaweza kukuondoa muda wowote kwenye ardhi ambayo umepewa haki ya ku stay kwa ajili ya kupisha sgughuli za maendeleo ila lazima wakulipe fidia, au wakupe eneo jingine lenye mandhali kama walilokuhamisha.Hicho kimefanyika sababu wamasai wanapelekwa Handeni ambako wamejengewa nyumba za kuishi,shule,visima vya maji,zahanati na kutengenezewa barabara.
 
Hello Great Thinkers..

HIli sakata limenisikitisha sana,

Kuona Mzee mtu mzima akipigwa kwa sababu tu anatetea ardhi yake, sehemu aliyokulia na kuipenda Maisha yake yote, his livelihood kisa tu serikali imeona pana potential ya kutengeneza income is not right..

Nimeandika topic hii ili kama mna mawazo/ideas wapi pana Potential serikali ipeleke nguvu zake huko...( best alternatives),

Mimi naanza, tuanze na eneo letu kubwa tu Arable land kwa ajili ya kilimo, Nadhani hii ni area mojawapo haijawa fully exhausted.

Kuachia this untapped resource Freely halafu kwenda kushikiana mtutu na kumwaga damu za watu eti kwa vile tu sehemu itaingiza income, hapana kwa kweli si sahihi.

Kisha msinicheke, kama wanyama wanahamishwa wengine wanapelekwa Nje, haiwezekani kujenga Park Nyingine? kinachohitajika ni nini? si wanyama, miti,ziwa, hivi vitu mbona vinakuwa created easily tu..LOL...hii ni gharama sana kuliko kuhamisha Wamasai ila hakuna gharama kama uhai wa mtu, unakufa leo unaweza kubargain na Sir God akuongezee hata one minute? kwa nini watu wanakuwa na guts watu wengine wauwawe ili kulinda tu ' interests' zao...?!

Tena msiseme hamna funds za kujenga Park nyingine, mafisadi mna hela za kutisha tuu... wengine zimewazidi mnaweka hadi kwenye makontena! [emoji3] [emoji3] 😳 😳 😳 ,

Anyway i know sometimes nahorojeka humu, but im sending my message kwa serikali itafute na kutumia resources zake vizuri, Kisha sio kutumia mabavu kwenye sehemu ya maelewano tu na kutumia logic...!

Anyway kama great thinkers, kulaumu kwa yanayotokea haisaidii..

So, i humble request kama unajua tufanye nini, au wapi serikali inaweza kuinvest bila kumwaga damu..

Then pataje,

Becky....
Point ya msing uliyoandika ni moja tu.. kuwa iangalie namna zingne za kupata hyo income... Bas

Ila kwenye altenative ya kuhamisha wanyama instead ya masai.. uko wrong vibaya mno... Kabla ya masai hyo land ilikua na wanyama asilia...
 
Kama inawezekana wawaamishe wakazi wa dar es salaam hasa wa mbagala, posta, msasani, masaki, karia koo... wawahamishie lindi kule Ntwara... hayo maeneo ya Dar es salaam ni mazuri sana kwa kuhamishia wale wanyama wa ngorongoro.. kule wamaasai wamejiwekeza sana sio vizuri.. wanang'ombe, wananyumba sio vizuri
 
Aisee wewe ndo pumbavuuu kabisa,wanyama walikuwepo kabla ya masai.Masai walimove kutoka Kenya eneo la Masaimara wakajongea Serengeti kwa lengo la kutafuta malisho na maji kwa ajili ya mifugo yao.Serikali ya kikoloni ikaona ni vyema Serengeti ibaki kama National Park ikabidi wahamishiwe eneo la Ncaa kusudi Ncaa iwe km land multiple use na kumbuka kipindi hicho inakadiriwa walikuwa km wamasai 3000 tu wakiwa na mifugo michache ambayo isingeweza kuathiri eneo la ncaa.Kumbuka hayo yalikuwa mawazo ya mkoloni Mwingereza ambae nae hakuwaza mbele kuwa hawa pia ni binadamu kuna kuzaliana,mifugo k uzaliana n.k.Leo tunaongelea Masai zaidi ya 150000 na mifugo zaidi ya 1m,so wame- suffocate eneo la wanyama asili waliowakuta,wanyama asili wamehama maeneo yao kwa kukosa malisho na maji.
Leo wamasai wajanja wamejenga nyumba za kudumu badala ya zile za Manyatta,.
Kibaya zaidi maasai matajiri walioko mijini wamehamishia mifugo yao hifadhini kwa ndugu zao.
Lengo la uhifadhi ni kuhakikisha vijukuu na vitukuu vyako vinaona hawa wanyamapori,husiwe mbinafsi na kuangalia karibu km nguruwe.
Wametafutiwa eneo potential lenye mahitaji yote muhimu sana tena kuliko Ncaa halafu bado unalalamika???Yaani km mkoloni alikosea kuwasukuma Ncaa aidha kwa maslahi yake na sisi tuendelee na mawazo yake na makosa yake?Hii ni nchi yetu wote na keki inayopatikana huko ni yetu wote.Anyway km Wamasai wangehamishiwa jangwani hata mimi ningelikuwa upande wako.
Umenena vema
 
Kweli ni jambo zuri kama wanataka kumpa ardhi mwekezaji amiliki, ila ningependeza umiliki wake uwe wa kikomo. .

Pia waarabu wametawala Zanzibar, ingependeza wangegawia ardhi au kumegewa kule zanzibar hata mji mkongwe ingeleta maana zaidi. Imagine kuwe na mbuga Zanzibar, itakuwa kivutio kikubwa sana. Na wazanzibari wanawapenda sana waarabu haitoleta shida, just thinking outside the box. .
 
Una vitusi vya kizamani na kitoto sana.
Wewe mnuka kun.du hilo aliyekwambia mtu kuitwa dada ni dhihaka nani huyo.

Shahawa za kisasa wewe kajambe kushoto
Wewe matusi yako ndio unaona mapya???

Nitakuua na wivu, na bado nyooo...

Kwani kuwa mwanamke ni tusi?! mbona hujikubali wewe?! au unadhania unaweza ukajificha ndani ya ID fake, wewe ni msichana na ni mdogo sana sidhani hata kama umefika 24 years, kakojolewe utulie mapepe pumbafu
 
Nikiwa msichana wewe inakuwasha hiyo chupi yako ya material ya mgomba?
 
Back
Top Bottom