Sakata la Wamasai Ngorongoro; Tuisaidie Serikali kuona 'Alternatives'

Aisee wewe ndo pumbavuuu kabisa,wanyama walikuwepo kabla ya masai.Masai walimove kutoka Kenya eneo la Masaimara wakajongea Serengeti kwa lengo la kutafuta malisho na maji kwa ajili ya mifugo yao.Serikali ya kikoloni ikaona ni vyema Serengeti ibaki kama National Park ikabidi wahamishiwe eneo la Ncaa kusudi Ncaa iwe km land multiple use na kumbuka kipindi hicho inakadiriwa walikuwa km wamasai 3000 tu wakiwa na mifugo michache ambayo isingeweza kuathiri eneo la ncaa.Kumbuka hayo yalikuwa mawazo ya mkoloni Mwingereza ambae nae hakuwaza mbele kuwa hawa pia ni binadamu kuna kuzaliana,mifugo k uzaliana n.k.Leo tunaongelea Masai zaidi ya 150000 na mifugo zaidi ya 1m,so wame- suffocate eneo la wanyama asili waliowakuta,wanyama asili wamehama maeneo yao kwa kukosa malisho na maji.
Leo wamasai wajanja wamejenga nyumba za kudumu badala ya zile za Manyatta,.
Kibaya zaidi maasai matajiri walioko mijini wamehamishia mifugo yao hifadhini kwa ndugu zao.
Lengo la uhifadhi ni kuhakikisha vijukuu na vitukuu vyako vinaona hawa wanyamapori,husiwe mbinafsi na kuangalia karibu km nguruwe.
Wametafutiwa eneo potential lenye mahitaji yote muhimu sana tena kuliko Ncaa halafu bado unalalamika???Yaani km mkoloni alikosea kuwasukuma Ncaa aidha kwa maslahi yake na sisi tuendelee na mawazo yake na makosa yake?Hii ni nchi yetu wote na keki inayopatikana huko ni yetu wote.Anyway km Wamasai wangehamishiwa jangwani hata mimi ningelikuwa upande wako.
 
Inaonekana una upeo na hili jambo, je kuna ukweli kwamba kuna Mwarabu kauziwa kitalu hapo?
 
Ni rahisi ku create Ngorongoro crater na ziwa? Kwa hiyo watumie hela ya mafisadi kujenga Park ingine? Be serious. Siungi mkono serikali kutumia mabavu, lakini inabidi kama inatekeleza amri halali.
 
Ni rahisi ku create Ngorongoro crater na ziwa lake? Kwa hiyo watumie hela ya mafisadi kujenga Park ingine? Be serious. Siungi mkono serikali kutumia mabavu, lakini inabidi kama inatekeleza amri halali.
Hio itakuwa complicated, sema wanao support huu upuuzi wa serikali wanasema sababu kuu ni kuhidhi wanyama, sasa kwa nini Park nyingine isitengenezwe...?
 
Achana na Huyo Mwongo No.1 wa Taifa. Waziri Mkuu ni cheo kikubwa kutumika kama Spin Doctor. Angekuwa Waziri wa Habari, Msemaji wa serikali au hata Waziri wa maliasili Sawa, lakini siyo uongo wa kipuuzi kama ule usemwe na Waziri Mkuu.
 
Hawahami ng'o!
Nchi hii hakuna jamii ngumu na yenye ubishi kama WAMAKONDE, hao wamakonde wako na umoja zaidi ya uonavyo, na nikuambie hakuna sehemu serikali nchi hii imewahi kupeleka vifaru kwenye mzozo wa raia ni Mtwara tu, nako walitulizwa, sembuse hao Mbuzi wasio na akili??

Pale ambapo ustaarabu unakosekana basi UKATILI utaingia.

Sasa ww wadanganye afu waone mbungi la Serikali. Wewe umetulia kwa mumeo unakula kuni, wenzako wanavunjwa miguu.
 
Mbona watu wa kipawa walihamishwa kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege Wanaharakati mlikuwa wapi? watu wamehamishwa kurasini kupisha bandari, watu wamehamishwa kupisha mradi wa gesi songosongo mlikuwa wapi kupiga mikelele? Leo watu walihamishwa ngorongoro mnajitia wazimu kumbukeni hakuna mwenye hati miliki ya aridhi katika nchi hii kama watu wengine Wana hamishwa na kupewa fidia kwanini kwao ishindikane Wanaharakati sikuzote penye ulaji ndiyo Huwa mnafanya kampeni maana mnajua hapo Kuna kitu mtapata kupitia NGOs zenu
 
Hio itakuwa complicated, sema wanao support huu upuuzi wa serikali wanasema sababu kuu ni kuhidhi wanyama, sasa kwa nini Park nyingine isitengenezwe...?
Kama ile ya Chato? Kuna kitu kinaitwa ikologia ndio maana ni nadra kuona ngamia Tanzania
 

Hahaahaaa subiri tuone mtiti wake...

Na wamakonde, walitumia mishale, ??? wako vizuri kama wamasai??? 😀 😀 😀

MKuu naona kama uko kwenye special mission JF

Aliyekutuma mrudishie hela yake bwana,

You are clearly failing..lol

Serikali kupeleka vifaru haitapeleka...

Mama Samia ameshajenga 'profile' la kidiplomasia kwenye siasa za kimataifa...

Hatakubali achafuliwe...

Kama unafikiria serikali itapeleka vifaru Ngorongoro...

Then una tongo tongo kwenye ubongo..lol
 
Kama ile ya Chato? Kuna kitu kinaitwa ikologia ndio maana ni nadra kuona ngamia Tanzania
Mkuu yaani hao waraabu tunaopeleka wanyama wao wana mazingira mazuri zaidi kwa hao wanyama kushinda sisi?????????? kwanza hata huko hizo Park watakazoweka hizo wanyama wengi zitakuwa man made,,,,,,
 
Sina NGO mimi (wish ningekuwepo nayo, LOL),

Watu wamehamishwa kwa maslahi ya Watanzania...

Wamasai wanataka kuhamishwa kwa maslahi ya 'Mwarabu'...

See the difference?
 
Mkuu yaani hao waraabu tunaopeleka wanyama wao wana mazingira mazuri zaidi kwa hao wanyama kushinda sisi?????????? kwanza hata huko hizo Park watakazoweka hizo wanyama wengi zitakuwa man made,,,,,,
Umepata wapi taarifa kama wanataka kupewa waarabu? hoja ni kupunguza shughuri za kibinadamu kutunza ikolojia kwa miaka mingi ijayo, Waarabu wameingiaje? au unaingizwa king na Kigogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…