Kwanini watanzania tusiandamane kupinga hiyo mbuga kuuzwa badala yake tunawaachia maasai as if wao sio watanzania au siyo binadamu
Sisi sote ni watanzania na wale wachache wananyanyaswa tusimame nao kutetea ardhi yetu siyo kukaa kwenye mitandao kujajili shit shit tu