Sakata la Wasafi Festival Mbeya, ishu sio sakata la PDiddy ni CCM. Wana nafasi bado ya kujirekebisha

Unaumia ukiwa wapi chooni au milembe
 
Siasa ni kila kitu NI maisha ya jamii siyo vyama, siasa ikiwa mbaya taifa linajenga CHUKI miongoni mwa watu. CHUKI ikijengeka hawezi kutofautisha NI kama MTU kwenye hasira anaona kilakitu ni keto. Kifupi SIASA NI WATU!!!!
 
Kiongozi hao nyumbu wamechanganyikiwa, we soma ujinga wao jichekee ukalae lakini ukisema uwachikulie serious utaumiza akili Yako. Wana mtindio flani wa ubongo, tena tangu wachemke Yale maandamano yao yaliyojaa dhima waliyoipika kijinga ndo wamezidi. Mingine ni mibaba mizee tu naiona humu tangu 2010's lakini inaandika ujinga ujingaaa na unyumbu wao!!

Ni wa kuwadharau tu hawa......
 
Ina maana aliingiza u - CCM kwenye biashara yake ya muziki..?

Mjinga huyo. Hata hawasomi majira na alama za nyakati...

Ma - CCM hayana busara kabisa kujua yaseme nini, wapi na wakati gani...

Hivi Mbeya au Mwanza mwanamziki unawezaje kupanda jukwaani badala uimbe nyimbo zako na ukate viuno vyako, wewe kwa ufinyu wa akili badala yake uanze kuleta mambo ya u - CCM na u - Samia a.k.a u - Chura kiziwi halafu uachwe salama..?

Wallahi, utazomewa, utapopolewa mawe na utatupiwa hupa zenye mkojo unukie vizuri...!!
 
Hao mizee ya tangu 2010 ikishindwa kushika mimba za mume zao watakuja kuilalamikia ccm huku, subir tuu.
 
Hebu kiangalieni na hiki🤣🤣🤣
Kimejazwa upepo na nyumbu wenzie nacho kinakuja kizima kizima bila hata nukta yoyote ya kujiridhisha ukweli wake.
 
Bwanake mwenyewe ndiye huyo ameshavunjiwa yai na Pdidy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…