Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni uchawa tu hata mama yake si ndio kazi yake hiyo ya kusifu na kuabuduangekausha habari za mitano. sasa sijui wanakua wanaagizwa kusema hivyo
Unaumia ukiwa wapi chooni au milembeKwenye hizo kelele zao sijasikia neno lolote linalohusu mambo ya siasa wala bango la kisiasa kuhusu yanayoendelea kwenye siasa, sasa iweje mhusishe na mambo ya kisiasa?
Siikubali ccm ila chadema em tumieni akili aisee ipo siku mtashindwa kubeba mimba za mume zenu na kuilalamikia ccm
Aisee!! angepigwa hata mikwajuKilicho wakera hasa ni hii ishara ya dole la lati
Walimsamehe sana. Alipaswa apigike kabisaAisee!! angepigwa hata mikwaju
Siasa ni kila kitu NI maisha ya jamii siyo vyama, siasa ikiwa mbaya taifa linajenga CHUKI miongoni mwa watu. CHUKI ikijengeka hawezi kutofautisha NI kama MTU kwenye hasira anaona kilakitu ni keto. Kifupi SIASA NI WATU!!!!Kwenye hizo kelele zao sijasikia neno lolote linalohusu mambo ya siasa wala bango la kisiasa kuhusu yanayoendelea kwenye siasa, sasa iweje mhusishe na mambo ya kisiasa?
Siikubali ccm ila chadema em tumieni akili aisee ipo siku mtashindwa kubeba mimba za mume zenu na kuilalamikia ccm
Nikiwa na mkeo kitandanUnaumia ukiwa wapi chooni au milembe
Kiongozi hao nyumbu wamechanganyikiwa, we soma ujinga wao jichekee ukalae lakini ukisema uwachikulie serious utaumiza akili Yako. Wana mtindio flani wa ubongo, tena tangu wachemke Yale maandamano yao yaliyojaa dhima waliyoipika kijinga ndo wamezidi. Mingine ni mibaba mizee tu naiona humu tangu 2010's lakini inaandika ujinga ujingaaa na unyumbu wao!!Kwenye hizo kelele zao sijasikia neno lolote linalohusu mambo ya siasa wala bango la kisiasa kuhusu yanayoendelea kwenye siasa, sasa iweje mhusishe na mambo ya kisiasa?
Siikubali ccm ila chadema em tumieni akili aisee ipo siku mtashindwa kubeba mimba za mume zenu na kuilalamikia ccm
View: https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09
Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya nsanii wake Zuchu kurushiwa chupa za maji stejini pale alipoanza tu kutumbuiza hali iliyomfanya asiendelee
Ni utamaduni wa kiafrika na mwafika kushirikiana kila jambo kwenye jamii
Kiafrika wanasema tulie wote tucheke wote.. Ukienda tofauti na hii kanuni.. Wanakubiri pa kukupata!
Taifa liko kwenye mtanziko mkubwa wa watu kudhulumiwa uhai wao
Watu kutekwa na kuteswa mateso mabaya kabisa
Watu kutekwa na kupotezwa
Ilitarajiwa hata litoke tamko la kinafiki kutoa pole na walau kulaani haya matukio lakini ndio kwanza wako wanasema mitano tena kwa mama!
Walipaswa kujua ya kwamba mashabiki wanaowategemea kuwachangia na kuhudhuria matamasha yao ni wa
Itikadi zote
Vyama vyote
Jinsia zote nknk
Na ndio hawa wanaotekwa kuteswa na kupotezwa kila siku.. Ndio hawa hawa ambao ndugu jamaa na Watanyika wenzao wamefanyiwa yote haya.. Unategemea nini kuwaendea watu kama hawa ambao tayari umeshaonesha upande wako?
Kamati ya Wasafi Festival ina nafasi bado ya kujirudi na kuweka mambo sawa.. Mashabiki ndio kila kitu.. Wakipuuzia hili mwaka huu tamasha linaweza kuvunja rekodi ya kufanya vibaya.. Jambo ambalo ni baya sana kwa brand kubwa kama Wasafi kibiashara na kijamii
Sakata la Diddy ni kichocheo tuu cha kulipua yaliyojaa vifuani mwa watu
😂Mfano mzuri hata humu jf member wa kwanza akianza kuuponda uzi wote wanaofata wanaiga.
Hao mizee ya tangu 2010 ikishindwa kushika mimba za mume zao watakuja kuilalamikia ccm huku, subir tuu.Kiongozi hao nyumbu wamechanganyikiwa, we soma ujinga wao jichekee ukalae lakini ukisema uwachikulie serious utaumiza akili Yako. Wana mtindio flani wa ubongo, tena tangu wachemke Yale maandamano yao yaliyojaa dhima waliyoipika kijinga ndo wamezidi. Mingine ni mibaba mizee tu naiona humu tangu 2010's lakini inaandika ujinga ujingaaa na unyumbu wao!!
Ni wa kuwadharau tu hawa......
Hebu kiangalieni na hiki🤣🤣🤣Ina maana aliingiza u - CCM kwenye biashara yake ya muziki..?
Mjinga huyo. Hata hawasomi majira na alama za nyakati...
Ma - CCM hayana busara kabisa kujua yaseme nini, wapi na wakati gani...
Hivi Mbeya au Mwanza mwanamziki upande jukwaani badala ukate viuno vyako, badala uanze kuleta mambo ya u - CCM na u - Samia a.k.a u - Chura kiziwi..? Kwanini usipopolewe mawe na kumwagiwa mkojo kwenye chupa...?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hao mizee ya tangu 2010 ikishindwa kushika mimba za mume zao watakuja kuilalamikia ccm huku, subir tuu.
Bado Tigo nayo ivujeeHebu kiangalieni na hiki🤣🤣🤣
Kimejazwa upepo na nyumbu wenzie nacho kinakuja kizima kizima bila hata nukta yoyote ya kujiridhisha ukweli wake.
Angewafanyia hivi machalii wa chuga jukwaa angeshushwa akiwa anavuja damu.Kilicho wakera hasa ni hii ishara ya dole la lati
Bwanake mwenyewe ndiye huyo ameshavunjiwa yai na PdidyHuu ni mwanzo wa mwisho wa Zuchu.
Watanzania tuna itikadi ya kuiga. Chances ni kubwa kwingine kokote akienda wataiga kumpopoa.
Ajishushe kidogo na kuacha kuhisi amemaliza kila kitu. Akumbuke umaaruffu wake unategemea zaidi bwana ake kuliko yeye mwenyewe.