Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Wngn hatufatilii hayo hvy tunategemea mada iwe imejaa taarifa yote hiyo ila ndo hvy watoa mada hawasemi hayoAlivyofika mbeya airport kabla ya onyesho alisema watu wameinvest hela nyingi sana, mheshimiwa Tulia amepambana sana festival iende mbeya, alisema Zuchu akihojiwa na mwandishi habari...kwa matamshi hayo hiyo festival ilikuwa na chembechembe za kisiasa