Sakata la Wasafi Festival Mbeya, ishu sio sakata la PDiddy ni CCM. Wana nafasi bado ya kujirekebisha

Tatizo kila sehemu mnaleta siasa kuona nyie mnapendwa kuliko wengine, je ikiwa ni wahuni na walevi ndio walirusha chupa hapo utasemaje?
 
Huko tuendako itafika mahali ccm watarudi kulekule kwenye kuogopa hata kuvaa sare zao
Du

kweli wazanzibar wametudharau yani SA100 katunyoshe kidole cha kati na hadi zuchu naye anafanya hivyo hivyo .
Mnataka mfanywe nini mpaka ithibitike? Maana mpaka umbwa tumeitwa
 
Huko tuendako itafika mahali ccm watarudi kulekule kwenye kuogopa hata kuvaa sare zao
Du

kweli wazanzibar wametudharau yani SA100 katunyoshe kidole cha kati na hadi zuchu naye anafanya hivyo hivyo .
Mnataka mfanywe nini mpaka ithibitike? Maana mpaka umbwa tumeitwaView attachment 3111175
 
Kama ni hivi aliwaonyesha dole la kati basi walistahili kumrushia chupa na mawe. Ni matusi makubwa sana kwa wanaosupport kazi zake. Na akirudi tena wamfanyie hivo hivo.
Bado huamini wakati picha inaonyesha ni yeye.
mimi naona walimsamehe sana huyo mavi
 
Safi sana , wameonyesha hisia zao kwa kukafukuza jukwaani kama mwizi.

Mapambio yake ya CCM kuwakawaka kapeleke Lumumba.
 
Muziki is hard and politics is hard she must choose in hard wisely
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…