Ngurukia
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 4,407
- 16,942
nishafika na siikani. Nakiri umri wangu sahihi na kutojilinganisha na watoto.omba kwa `Mungu na wewe ufikie hiyo 40+
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nishafika na siikani. Nakiri umri wangu sahihi na kutojilinganisha na watoto.omba kwa `Mungu na wewe ufikie hiyo 40+
Kichwa majiKwanza hakikisha kichwa kina akili nzuri
Mnataka mfanywe nini mpaka ithibitike? Maana mpaka umbwa tumeitwaDu
kweli wazanzibar wametudharau yani SA100 katunyoshe kidole cha kati na hadi zuchu naye anafanya hivyo hivyo .
Mnataka mfanywe nini mpaka ithibitike? Maana mpaka umbwa tumeitwaView attachment 3111175Du
kweli wazanzibar wametudharau yani SA100 katunyoshe kidole cha kati na hadi zuchu naye anafanya hivyo hivyo .
Bado huamini wakati picha inaonyesha ni yeye.Kama ni hivi aliwaonyesha dole la kati basi walistahili kumrushia chupa na mawe. Ni matusi makubwa sana kwa wanaosupport kazi zake. Na akirudi tena wamfanyie hivo hivo.
Kajinga kamekosa adabu na stara sasa kakutana na watu wanaojielewa.Kilicho wakera hasa ni hii ishara ya dole la lati
HahahahahaDu
kweli wazanzibar wametudharau yani SA100 katunyoshe kidole cha kati na hadi zuchu naye anafanya hivyo hivyo .
View: https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09
Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya nsanii wake Zuchu kurushiwa chupa za maji stejini pale alipoanza tu kutumbuiza hali iliyomfanya asiendelee
Ni utamaduni wa kiafrika na mwafika kushirikiana kila jambo kwenye jamii
Kiafrika wanasema tulie wote tucheke wote.. Ukienda tofauti na hii kanuni.. Wanakubiri pa kukupata!
Taifa liko kwenye mtanziko mkubwa wa watu kudhulumiwa uhai wao
Watu kutekwa na kuteswa mateso mabaya kabisa
Watu kutekwa na kupotezwa
Ilitarajiwa hata litoke tamko la kinafiki kutoa pole na walau kulaani haya matukio lakini ndio kwanza wako wanasema mitano tena kwa mama!
Walipaswa kujua ya kwamba mashabiki wanaowategemea kuwachangia na kuhudhuria matamasha yao ni wa
Itikadi zote
Vyama vyote
Jinsia zote nknk
Na ndio hawa wanaotekwa kuteswa na kupotezwa kila siku.. Ndio hawa hawa ambao ndugu jamaa na Watanyika wenzao wamefanyiwa yote haya.. Unategemea nini kuwaendea watu kama hawa ambao tayari umeshaonesha upande wako?
Kamati ya Wasafi Festival ina nafasi bado ya kujirudi na kuweka mambo sawa.. Mashabiki ndio kila kitu.. Wakipuuzia hili mwaka huu tamasha linaweza kuvunja rekodi ya kufanya vibaya.. Jambo ambalo ni baya sana kwa brand kubwa kama Wasafi kibiashara na kijamii
Sakata la Diddy ni kichocheo tuu cha kulipua yaliyojaa vifuani mwa watu