Aisee kazi ipo
Weeeeee usinambie[emoji16][emoji16][emoji16]....kumbe ndivyo alivyorudigi kwa mamaake?Ila wema mjanja sana alivyoona Jumbe anamfungia ndani hakuna kufanya issue yoyote na mawifi wanamzunguka asitoke, akapanga dili kamadnganya Jumbe gari mbovu naipeleka gereji jumbe nae akaingia kwenye gari waende wote kufika gereji jumbe kashuka wema katimua vumbi na gari yake hadi sinza kwa mara pa global wakatoa picha wema kalala mapajani mwa mama ake eti mama anampa pole mtoto, kweli wana fanana.
Duhhh...sijui nani alimchoma?Bado hukumu haijatoka ila yupo magereza hauna dhamana kwa kesi yake.
Hahaha kwa kweli mamy
Hapo alijiona mjanjaaa[emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kichwani hamna kitu mule we muache fainali uzeeni
Yaani ana danga pesa akipata anaifanyia vitu vya kijinga.Weeeeee usinambie[emoji16][emoji16][emoji16]....kumbe ndivyo alivyorudigi kwa mamaake?
Uhuni wa kishamba sana huo[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
akasema ilifika hali akawa hata mafuta ya kupaka hana Jumbe anamwambia aombe kwa wifi ajipake, akachanganaya akili akaona karibu atapewa karai achome vitumbua kibarazani.Weeeeee usinambie[emoji16][emoji16][emoji16]....kumbe ndivyo alivyorudigi kwa mamaake?
Uhuni wa kishamba sana huo[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewaaaa....mtoto alimgeuza fursa mjini, unategemea nini?Na apambane haswa, hakumtaka kanumba wala Jumbe anataka kumuuza kwa madanga ili waendeshe magari mjini sasa sijui nani alaumiwe?
Itakuwa alileta ubabe wenzake wakamchoma, biashara haramu haitaki kuleteana ujuaji.
Haswa mama alimpenda sana CK mpaka kumtuhumu kajala kamuibia wema bwanake, dah! wamama wa mjini tabu tupu.Ewaaaa....mtoto alimgeuza fursa mjini, unategemea nini?
Kipindi kile Ck walikuwa wanamuona wa maana kinoma!
Na ndio danga moja tu la maana wema alilowahi pata maishani, wengine ni fyucha[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Daimond umemsahau best ๐๐Ewaaaa....mtoto alimgeuza fursa mjini, unategemea nini?
Kipindi kile Ck walikuwa wanamuona wa maana kinoma!
Na ndio danga moja tu la maana wema alilowahi pata maishani, wengine ni fyucha[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwaga wanaharibika simple like that!
Eti scissors๐๐ full ku-rub
Weee! mama hakuwa anamtaka hata huyo Diamond wakati ule mpunga si ulikuwa hauja changanya kama sasa, mama alikuwa anataka mwanae auze kwa mapedeshee tu.Daimond umemsahau best ๐๐
Mtu mzima kama yule anatongozwa na Steve Nyerere ujue hajiheshimu zile audio alizo vujisha mwenyeweHuwaga wanaharibika simple like that!
Huwezi pata kitu mlee!
Unakumbuka kipindi kile cha usiku wa vigodoro mtu na mamaake wanatingisha mitako stejini[emoji16][emoji16][emoji1787]....haki nilicheka siku hiyo mpakaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule akidanga akapata pesa cha kwanza ni kutunza jukwaani ili aonekane anazo, kulewa, kampani, kukodisha ndinga kali, pochi na pamba kwishnei[emoji119]Yaani ana danga pesa akipata anaifanyia vitu vya kijinga.
kama ni lake itakuwa Bashite kamuunganisha mahali na kaambiwa marufuku kutangaza, maana siku hizi yeye na bashite dam dam.Yule akidanga akapata pesa cha kwanza ni kutunza jukwaani ili aonekane anazo, kulewa, kampani, kukodisha ndinga kali, pochi na pamba kwishnei[emoji119]
Juzi kati nimetembelea home ( Ni karibu na kwao pale sinza mori meeda bar kama unaelekea hostel) nikaona anachomoka getini kwao anaingia kwenye brevis akasepa! Nikawauliza home shost siku hizi hili ndo gari yake? Wakaniambia ndo wanamuona nalo siku hizi ...sasa sijui ni lake au kakodi!
Nikikumbuka Murano la Domo anasema anafugia mbwa wake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaYule akidanga akapata pesa cha kwanza ni kutunza jukwaani ili aonekane anazo, kulewa, kampani, kukodisha ndinga kali, pochi na pamba kwishnei[emoji119]
Juzi kati nimetembelea home ( Ni karibu na kwao pale sinza mori meeda bar kama unaelekea hostel) nikaona anachomoka getini kwao anaingia kwenye brevis akasepa! Nikawauliza home shost siku hizi hili ndo gari yake? Wakaniambia ndo wanamuona nalo siku hizi ...sasa sijui ni lake au kakodi!
Nikikumbuka Murano la Domo anasema anafugia mbwa wake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app