Sakata la Wema Sepetu na Diana lafikia pazito

Ila wema mjanja sana alivyoona Jumbe anamfungia ndani hakuna kufanya issue yoyote na mawifi wanamzunguka asitoke, akapanga dili kamadnganya Jumbe gari mbovu naipeleka gereji jumbe nae akaingia kwenye gari waende wote kufika gereji jumbe kashuka wema katimua vumbi na gari yake hadi sinza kwa mara pa global wakatoa picha wema kalala mapajani mwa mama ake eti mama anampa pole mtoto, kweli wana fanana.
Weeeeee usinambie[emoji16][emoji16][emoji16]....kumbe ndivyo alivyorudigi kwa mamaake?

Uhuni wa kishamba sana huo[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnalaana nyie mnasagana wakati washakji wanapiga nyeto..
Ila sepwtunga unlips nzur
 
Alihojiwa
Weeeeee usinambie[emoji16][emoji16][emoji16]....kumbe ndivyo alivyorudigi kwa mamaake?

Uhuni wa kishamba sana huo[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
akasema ilifika hali akawa hata mafuta ya kupaka hana Jumbe anamwambia aombe kwa wifi ajipake, akachanganaya akili akaona karibu atapewa karai achome vitumbua kibarazani.
 
Na apambane haswa, hakumtaka kanumba wala Jumbe anataka kumuuza kwa madanga ili waendeshe magari mjini sasa sijui nani alaumiwe?
Ewaaaa....mtoto alimgeuza fursa mjini, unategemea nini?

Kipindi kile Ck walikuwa wanamuona wa maana kinoma!

Na ndio danga moja tu la maana wema alilowahi pata maishani, wengine ni fyucha[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ewaaaa....mtoto alimgeuza fursa mjini, unategemea nini?

Kipindi kile Ck walikuwa wanamuona wa maana kinoma!

Na ndio danga moja tu la maana wema alilowahi pata maishani, wengine ni fyucha[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Haswa mama alimpenda sana CK mpaka kumtuhumu kajala kamuibia wema bwanake, dah! wamama wa mjini tabu tupu.
 
Huwaga wanaharibika simple like that!

Huwezi pata kitu mlee!

Unakumbuka kipindi kile cha usiku wa vigodoro mtu na mamaake wanatingisha mitako stejini[emoji16][emoji16][emoji1787]....haki nilicheka siku hiyo mpakaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mzima kama yule anatongozwa na Steve Nyerere ujue hajiheshimu zile audio alizo vujisha mwenyewe
 
Yaani ana danga pesa akipata anaifanyia vitu vya kijinga.
Yule akidanga akapata pesa cha kwanza ni kutunza jukwaani ili aonekane anazo, kulewa, kampani, kukodisha ndinga kali, pochi na pamba kwishnei[emoji119]

Juzi kati nimetembelea home ( Ni karibu na kwao pale sinza mori meeda bar kama unaelekea hostel) nikaona anachomoka getini kwao anaingia kwenye brevis akasepa! Nikawauliza home shost siku hizi hili ndo gari yake? Wakaniambia ndo wanamuona nalo siku hizi ...sasa sijui ni lake au kakodi!

Nikikumbuka Murano la Domo anasema anafugia mbwa wake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni

kama ni lake itakuwa Bashite kamuunganisha mahali na kaambiwa marufuku kutangaza, maana siku hizi yeye na bashite dam dam.
 
Yule akidanga akapata pesa cha kwanza ni kutunza jukwaani ili aonekane anazo, kulewa, kampani, kukodisha ndinga kali, pochi na pamba kwishnei[emoji119]

Juzi kati nimetembelea home ( Ni karibu na kwao pale sinza mori meeda bar kama unaelekea hostel) nikaona anachomoka getini kwao anaingia kwenye brevis akasepa! Nikawauliza home shost siku hizi hili ndo gari yake? Wakaniambia ndo wanamuona nalo siku hizi ...sasa sijui ni lake au kakodi!

Nikikumbuka Murano la Domo anasema anafugia mbwa wake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
 
Back
Top Bottom