Sakata la Wema Sepetu na Diana lafikia pazito

Sakata la Wema Sepetu na Diana lafikia pazito

Uyo maza ni Hovyo yani anafanya ivo as if uyo Wema ana umri wa miaka 8 na diana ana miaka 20 wakat wote ni watu wazima et...jitu zima Hovyo...alishindwa kuziba kwake mtoto kesha aribikia usikute wema ndio kamuarib dogo wema kwa skendo kama ni muvi bas ni Hollwood

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes siku 14..alivyotoka tu akaenda mla denda yule teja wake Jumbe na mama ake akishuhudia mahakamani

Wema hajaanza vituko leo eti, watu toka tuko secondary huko anatupunguzia stress za mitihani ya necta[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahah.. nimekumbuka, una kumbukumbu sana aseeh


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyu mama kashachelewa mwanae ameamuwa kuwa msagaji na chaguo lake ni Diana, asimpige diana tu awapeleke kwenye ushauri nasaha waache kusagana, maskini Diana tangu danga lake la moshi liwekwe magereza anapata taabu sana, lile danga lilikuwa linamsaga vyema mtoto alitulia na skendo hakuwa nazo.
Hilo danga lake ni lipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaaaahaaaaaa, kweli fyucha.. jamani, halafu wema inaonekana anapenda sana madenda unakumbuka alivyotolewa gerezani na mama ake baada ya kumuwekea dhamana alivyovunja kioo cha gari cha kanumba wakati huo wema anaishi na Jumbe, kutoka lupango tu kwenye viwanja vya mahakama akamvaa Jumbe na kumpa madenda hovyo hovyo na kutaka kuondoka nae, mama akapagawa akatishia kufuta dhamana, wema yuko baby , baby huku anakula denda tu Jumbe kabaik na aibu, cha eti leo afundishwe tabia mbaya na Diana? Litakuwa ajabu jipya la dunia.
Nakumbuka vzr sanaa!!!tuu kumbe nawe mhenga eehh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anusuru vizazi vyetu maana dah!its too much Wema hana kutulia jamani sasa ile press conference ya kusema amekua ndo amekua msagaj?

Halafu team Wema wanamharibu sana!kama yule Wema memes anamsifia ujinga tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom