Sakata la Zari na makalio bandia

Status
Not open for further replies.
Z
Zari mpigaji tuu pesa,mtu anayejiheshimu hawezi zaa watoto 4 kila mtoto na baba yake,hivyo kila kituko afanyacho ni sawa tuu akilini mwake.
 
Z

Zari mpigaji tuu pesa,mtu anayejiheshimu hawezi zaa watoto 4 kila mtoto na baba yake,hivyo kila kituko afanyacho ni sawa tuu akilini mwake.
Eeeeh unasema?????

Ngoja waje wenye timu zao......
 
Mi naona kama kanenepa tu.
Kuna interview moja alifanyiwa na sporah zile picha alizopiga pia alikuwa kama hapo alipo na nguo nyekundu.
Kwenye web ya sporah show zipo mie siwezi kuweka picha.

But watu mbona wamekuwa defensive sana au bosslady ni marufuku kusemwa??!!!
 

na mkorongo juu..
 
Bongo bwana, umbea tu. Afaidi mwingine, mpiga kijembe mwingine!
 
So Zari alikujibu wewe?
Mweee
 
Wewe mwanamke unapenda kweli habari za kimbeambea sijui kwanini. Au mwenzetu labda ni muajiriwa wa Global Publishers kwa Shigongo?
Hujui kwanini na huwezi kujua.
Wewe ulitaka nipende nini?
 
Kama kumzalia mwanaume mtoto ndio kumpenda basi alimpenda zaidi Ivan aliyemzalia watoto watatu.
 
Mmmmh,kazi ipo,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…