BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,508
- 11,897
Z
Zari mpigaji tuu pesa,mtu anayejiheshimu hawezi zaa watoto 4 kila mtoto na baba yake,hivyo kila kituko afanyacho ni sawa tuu akilini mwake.Achana na habari zote zinazotikisa kwa sasa,habari ya Zari a.k.a Boss lady kuweka makalio ya bandia imeshika kasi.
Kama mtakumbuka majuzi hapo Zari alihudhuria hafla ya tangazo la Vodacom ambalo yeye na mwenzi wake Diamond wameingia mkataba wa kulitangaza bibie Zari alipigilia kigauni matata chekundu.
Hafla hiyo imezua ming'ono mingi kuhusu Zari wengi wakidai ni mzee kuliko anavyopost picha zake yeye mwenyewe (too much editing) maana wadau waliokuwa pale walimpiga picha original ambazo zimezua kizaazaa.
Achana na hilo la sura balaa kubwa lipo kwenye shape aliyoonekana nayo Zari kwenye hafla hiyo kuwa tofauti na ile tuliyoizoea hadi wadau kuhoji je bibie Zari nae ni mdau wa kigodoro? (kuvaa nguo za ndani zilizotuna kuboresha muonekano wa shape)
Maneno pembeni, hapa kuna picha za Zari kabla akiwa na shape tuliyoizoea na shape 'TATA'.
View attachment 321993
View attachment 321994