Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Yupo mtu wa ama kustaafishwa kwa maslahi ya umma ama kufukuzwa kazi,ukikaji umeshamiri.
 
Simply fulani anafanya uasherati na hajakamatwa na mke au mume wake haimaanishi nawe hautakamatwa.
Uasherati wa mke au mume ni kosa la madai, mwenye mke au mume anaweza kupotezea tu.
 
Kuna watu wanaudhika pia wewe ukila Kitimoto. Lazima tujifunze kuishi kwa kuvumiliana imani na itikadi tofauti ilimradi watu hawavunji sheria wala kudhuru wengine.
Kuna makosa yapo polisi sio wajinga yule ni mtu wa dini ana wafuasi wanajua yote
 
Sasa tunaenda sawa,kwa kuwa umekiri kwa kinywa chako kwamba makanisa mengi ni makanisa ya shetani,sasa kwa nini anaonewa mmoja? kwa nini Zumaridi?si wakamatwe wote?
Ajaonewa labda sababu ndie anaetrend kwa sasa
 
Hii mada imekuzidi umri.... umesoma jujuu kwamba kajiita Mungu,hebu pitia kwanza you tube video zake ndio uje ki comment humu. namnukuu kama alivyojitambulisha""YEYE NI MFALME ZUMARIDI,MAMLAKA YA MUNGU CHINI YA JUA,,YUPO HAPA KUMUWAKILISHA ALFA NA OMEGA""sasa wapi kajiita ye ye ni Mungu'?? Unaelewa neno MAMLAKA ?Kuna kanisa linaitwa CHRIST MANDATE so wamejita Yesu na wao .... Wa Tanzania muwe mnajipa muda wa kuelewa mambo kabla hamjakurupuka
 
Aisee huu mwezi kuna wanawake wawili wametrend haswa
1. Zamaradi- Na bango lake la Valentine
2. Zumalidi- Na dini yake na mazombie

Naona hii February iliwabamba haswa
 
Imeanza kuongea pumba nilianza taratibu nawe ili nione namna ulivyoivaa hii mada.

Ila sababu unaonekana ni mwanamke sitaweza kubishana nawe sababu haya makanisa ndio maeneo yenu mnakokimbilia kupagawa kwenu.

I have big respect for you, ukitaka umri na uwezo wangu wa shule nitakuDM Hadi research zangu nilizowahi kufanya na ninazofanya na zipo kwenye level gani ya recognition academically.

But wacha uendelee na Zumaridi wako maana utakuj kunitusi bure.
 
Kama taarifa ya polisi ingesema amekamatwa kwa kuwasafirisha na kuwashikilia watu nyumbani kwake kinyume cha sheria huenda kusingekuwa na mjadala mrefu kuhusu kukamatwa kwake lakini pale inapoendelea kusema "amekuwa akiwaaminisha watu yeye ni Mungu anayeponya, kufufua na kutatua matatizo..." huku hata haijaonyesha kosa lake ndipo maswali na mjadala unaibuka.
Kuna makosa yapo polisi sio wajinga yule ni mtu wa dini ana wafuasi wanajua yote
 
Sijui sakata la huyu dada wala sielewi kabisa
Yaani hamna hata la maana wameamua tu kumletea Tafrani.. Yeye anahubiri na kanisa lake na kapata wafuasi kwa hiari Yao sasa polisi wamemkamata kwamba Anashitakiwa kwa kosa la human trafficking...
 
February 2022 haijatuacha salama Kuna wanawake wawili wameleta shida;

1. Zamaradi

2. Zumaridi
 
My dear kama wewe ni mwandikaji mzuri wa research mbona issue ndogo kama hii umeshindwa kufanya research kabla hujaanza kuna comment? Unaweza kuwa na PHD ila kuna vitu vidogo vya dunia ni vikakuchenga,maana research zenu za siku hizi nazo mnazijua wenyewe mnavyofanya.... Asante kwa respect uliyonipa nami pia nairudisha kwako kwa taadhima... Mimi bado nipo hapa Leo na Zumaridi mpaka apewe Haki yake.. Have a nice evening!
 
Yaani hamna hata la maana wameamua tu kumletea Tafrani.. Yeye anahubiri na kanisa lake na kapata wafuasi kwa hiari Yao sasa polisi wamemkamata kwamba Anashitakiwa kwa kosa la human trafficking...
Hizi dini hizi inabidi serikali ama iwe kama kagame ama laa kuwe na utaratibu maalumu. Zinauwa nguvu kazi kabisa mtu anabaki kuzunguka akisema anahubiri. na mbaya zaidi wengi wao ni wanawake.
 
Polisi hawajawahi fuata sheria wala PGO yao.

Ni kama.sheria huwa haiwahusu wao.

Zumaridi aache kuwadanganya watu na hio cult yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…