Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Kabla ya kumkatamata kuna upelelezi au tukio la uharifu. Huyu maza anayejiita mfalme (yaani wa kike anajiita dume) anawahadaa kwa picha la kutengeneza imani na kanisa but behind the scene ni mharifu.Report ya polisi haijasema hayo! Imesema amekamatwa kwa kusafilisha binadamu? Jiulize hao binadamu Zumalidi kakutwa nao anawapeleka wapi kwenye wapi kwa maslahi gani hadi iwe jinai?
Watu wanaweza kukusanyika kwa mtu kufurahi ,kusali au kufanya msiba, je ni kosa watu kukusanyika kwa mpendwa wao?
Anajiita mungu, si ayeyuke awatoroke polisi?
Acha awajibishwe, akikutwa na kosa afungwe 20 yrs akanyooke huko.
Sasa wewe mtoa mada sijui ndo utakua mungu mpya wa kondoo wa Zumalidi???