Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Kabla ya kumkatamata kuna upelelezi au tukio la uharifu. Huyu maza anayejiita mfalme (yaani wa kike anajiita dume) anawahadaa kwa picha la kutengeneza imani na kanisa but behind the scene ni mharifu.

Anajiita mungu, si ayeyuke awatoroke polisi?

Acha awajibishwe, akikutwa na kosa afungwe 20 yrs akanyooke huko.

Sasa wewe mtoa mada sijui ndo utakua mungu mpya wa kondoo wa Zumalidi???
 
Hizi dini hizi inabidi serikali ama iwe kama kagame ama laa kuwe na utaratibu maalumu. Zinauwa nguvu kazi kabisa mtu anabaki kuzunguka akisema anahubiri. na mbaya zaidi wengi wao ni wanawake.
Sawa kabisa kama ni hivyo serikali ichukue hatua kwa wote... Huyu dada Hana tofauti na Mwamposa kuna watu wanalala na kuamka Kawe mbona Mwamposa hashikwi?ndio kwanza anasindikizwa na escort ya police... Tanzania ni moja na binadamu wote sawa... wafungie makanisa yote tujue moja
 
Usitukane watu,we mwerevu leta fact.. mbona unakimbia?'
Mie sijajibu hoja yako dada/mama/Bibi niliyemquote mwingine kabisa , just deal with your issues unless hao wapumbavu niliowaona umejihisi nawe nimekuona but sijakutaja wala sikuwa nakujibu wewe, ndio maana toka mwanzo nilikuambia take a chill pill kidogo.

Don't get personal na pia upumbavu sio tusi.
 
Sababu gani za kisheria zilizosababisha kanisa lake kufungiwa?
Walisema hakusajili kanisa lake na pia hatambuliki yupo kwenye denomination gani kwahiyo afuate hizo taratibu kwanza,Sasa yeye akatoka pale akaanza kufanyia ibada nyumbani kwake.kuna video ipo YouTube alivyofungiwa kanisa na mkuu wa wilaya ya nyamagana alielezea vizuri hizo sababu unaweza kuangalia.
 
Call me Bibi inatosha...Yeah nimejihisi kweli hujakosea maana ni miongoni mwa wale tunaoona Bibie kaonewa.... Ila kwa jinsi umejieleza hapa hamna neno Mimi na wewe tumefunga mjadala maana t umeshindwa kufika muafaka.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa mambo yanayoendelea kama taifa kuna umuhimu tena wa haraka sana kupitia upya sheria zote zinazohusu Dini na kuabudu
 
NANI ALIWAHI KUWATOROKA WAYAHUDI?
 
ungeeleza kwanza kaonewa vipi?
 
Elimu itolewe kwa Hao watoto wenu.. hajawateka,wapo pale kwa hiari yao,hajamfunga mtu kamba,kudhihirisha wana furaha na kiongozi wao ndio maana walianza kupambana na police... Tafadhali msikuze mambo
kupambana na polisi, unapambana vipi na polisi kabla hujajua kilichowaleta!?
 
Sio kweli,siku ya kwanza hawakugonga... waliruka kama makondoo.... usitetee vitu ambavyo vinaweza kukupata siku moja.. tukemee huu uonezi wa jeshi la polisi sio kutungatunga kesi zisizo na kichwa wala miguu
kumbe nawewe Ni kerubi Mana umejibu km mtu aliekwepo eneo la tukio
 
Nakaa eneo ambalo kanisa lake lilikuwepo na likafungwa. Kwa ujumla sikubaliani na huyu mama,Ila treatment ya polisi kwa raia,sio tu Lady Zuma,na wengine wengi hairidhishi.Wanatumia nguvu kupita kiasi.
ni police force sio service
 
Tisa kumi, zumalid anajiita mfalme hkuna MTU amepelekwa palë kila mmoja kaenda Kwa Akili yake, tuwalaumu hawa ndugu zëtu Kwa kuingizwa mkenge na mfalme lkn zuma hana kosa lolote kujiita mfalme... Dini HIV sasa imekuwa biashara na kila MTU na ubunifu wake, Leo zuma kaanza Leo?? S alikuwepo na serikal ilikuwepo.. zuma anaweza kuwa ana makosa lkn treatment yake haikua sawa.... Leo makanisa mengi ya walokole wameanzisha miji yao ndan ya makanisa yao.......
 
utashi gani ulioongea wewe hapa zaidi ya hisia
Hisia zangu zipo kuna sehemu zinatumika sio kwenye kesi ya Zumaridi.. .. halafu wewe vipi? Hebu soma Uzi wote mbona kama unatafutatafuta comment zangu ndio unasoma?unanichosha bwana kurudiarudi Leo nilikuwa hapa siku nzima ulikuwa wapi?
 
wewe Kuna vitu viwili unachanganya, search warrant na arrest warrant. Search warrant inahitaji kiongoz wa mtaa Ila arresting haihitaji uwepo wa kiongoz wa mtaa. Wewe hapa unaongelea kipi kilichovunjwa!?
 
wewe Kuna vitu viwili unachanganya, search warrant na arrest warrant. Search warrant inahitaji kiongoz wa mtaa Ila arresting haihitaji uwepo wa kiongoz wa mtaa. Wewe hapa unaongelea kipi kilichovunjwa!?
Ki moja katika hizo chochote tu kingefaa.... au wewe unashauri wangeenda na kipi katika hizo kuliko kuvamia kama maninja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…