Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Hawa polisi wasenge sana, wanaingia kwa mtu kama majambazi tena kwa kuruka ukuta then una mpiga mtuhumiwa bila ushaidi wowote hii nchi ni ya ajabu na isiyojali raia wake
Hadi wamemtoa damu!Sijui hata kwa nini wanakuwa hivyo... sijui ni Elimu ndogo au ubabe
 
Ujinga huondolewa na watu kupewa ELIMU mbona kuna wachungaji wengine wanawauzia maji kwa bei ya jumla kama mafuta ya upako na hawakamatwi?

Mama wa watu kaona kuliko kudanga anahubiri wanamkamatia nini?

Nani kalazimishwa kusali pale?
Na mie nashangaa hapa.
 
Mwamposa, gwajima, masanja? Je hawa nao?
 
Kwani hao watu 149 walikuwa kwenye nyumba ya ibada? If not; hauwezi kuwalinganisha na Mwamposa au Wakatoliki wanaokuwa sehemu rasmi ya ibada.
Kwaiyo kwa akili yako hao watu 149 wake kwa waume walikua kwenye kontena,,!? Tumia akili fala nini,,
 
Na wale kwa mwamposa? Misukule au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wa tz bado hawana uelewa kabisaa, bora hata wee uwaambie lol
 
Hadi wamemtoa damu!Sijui hata kwa nini wanakuwa hivyo... sijui ni Elimu ndogo au ubabe
Huyu zumaridi japo ni mpigaji kama wapigaji wengine lakini utofauti wake na wachungaji wengine ni kuwa huyu zumaridi anapenda kusaidia watu na kile anachikipata hupenda kugawana na maskini wanaomzunguka ndo maana watu huwa hawakauki kwake wakipata mahitaji ya chakula na malazi buree.
 
Yote KWA yote hivi waumini wa zumaridi sahiv sadaka wanampa nani [emoji849][emoji849]nami ngoja nikafungue kakanisa kangu huko niibe waumini wa zumaridi waje KWA babyfancy church [emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikweli ndiyo maana siendi Kwa Zumaridi kama wewe

Wenyewe wanataka wapigaji kama kina Mwam anawaambie kondoo wajimalize kila kitu,kondoo wanaanza kuhaha jinsi ya? kufika chamanzi yeye anasepa na V8 lake.... Eti wanadai ile ni usafirishaji haramu hakika haaingii akilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…