Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Updates
ZUMARIDI Aiambia mahakama kwamba wakati polisi walipovamia nyumbani kwake walimpiga na kuchukua pesa kiasi cha 19milioni alizokuwa Nazo kama sadaka
Hili la kuchukua(ni kuiba.Kuchukua bila ruhusa)hela polisi wasikatae.Huwa wana mikono mirefu.Ni wezi sana wakijidai wanachukua vidhibiti.
 
Hili la kuchukua(ni kuiba.Kuchukua bila ruhusa)hela polisi wasikatae.Huwa wana mikono mirefu.Ni wezi sana wakijidai wanachukua vidhibiti.
Ndiyo maana hawakufuata sheria ili watekeleze hii adhima mbaya! Sasa tofauti na jambazi hapo iko wapi?
Nimekumbuka simulizi ya #UMUGHAKA kwamba polisi waliompekua ..pesa walizomkuta nazo hawakuziripoti walichimba wakagawana!
Sasa huu utaratibu ni zaidi ya ujambazi kwenye mfumo watu wachache wanatia DOA jeshi letu tukufu
 
Na ndiyo maana wenye tabia hizo hufa vibaya/kibudu.Tabia za kimbwambwa wale scavengers!
 
Ujinga huondolewa na watu kupewa ELIMU mbona kuna wachungaji wengine wanawauzia maji kwa bei ya jumla kama mafuta ya upako na hawakamatwi?

Mama wa watu kaona kuliko kudanga anahubiri wanamkamatia nini?

Nani kalazimishwa kusali pale?
Tusichefanye imani kuwa chaka la kuficha makovu na kufuga unafiq
 
Wewe unachuki na serikali siyo bure,na inaonekana wewe Ni mfuasi wake na mnufaika wa vitendo haramu vilivyokuwa vinafanywa na huyo mama,una uhakika gani POLISI wakati wanapenda kukamatwa hawakuwa na viongozi wa serikali Kama unaowasema?
 
Mhalifu hawi mhalifu hadi pale itakapothibitika!

Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria!

Sipo hapa kumtetea Mfalme Zumaridi, Bali nashangaa namna ya uharamu wa ukamtaji!

Taratibu za ukamataji kwa mujibu wa sheria ziko wazi kabisa lakini mamlaka zimekuwa zikionesha kufeli Mara kwa Mara kutekeleza sheria hiyo jambo ambalo limekuwa likitweza utu wa watu wasio na hatia.

MFANO! mambo kama haya yalitokea huko mtwara hadi kufedhehesha uongozi wa polisi ambayo yalianza hihivi kwa kufumbafumba mambo,

Mfano 2. Ni huko ARUSHA Kuna taarifa ya askali mzalendo kulalamika kutaka kuuwawa na polisi wenzake kwa mambo Yale Yale kama ya mtwara na serikali iko kimya.

SASA NI HILI SAKATA LA TATU LINALOTIA KICHEFCHEFU

Ni TUKIO LA zumalidi Siku ya kwanza inaripotiwa kwamba polisi waliruka ukuta/geti ili kuingia kwa Zumalidi! Kitendo hiki kilitakiwa kulaaniwa na kila mtu! (Waliruka kwa Zumalidi kesho wataruka kwako)

Kama kulikuwa na ulazima wa kufika pale kwanini hawakufuata utaratibu wa upekuzi unavyotaka? Kwanini hawa kumshirikisha mwenyekiti wa mtaa/mjumbe? Kwanini waliruka ukuta kama jambazi! (VIPI KAMA ZUMARIDI ANGEJIBU MASHAMBULIZI KWA KUFYATUA RISASI KWA POLISI ALIYEVAA KIRAIA ALIPORUKA UKUTA?) Ina maana wangejibu kwamba walikuwa kwenye mapambano na majambazi au?

Kwa utaratibu walio utumia polisi hauna tofauti na utarabu wa kijambazi! Na hili linachangia sana siku hizi RAIA kutokutofautisha kati ya jambazi na polisi.

Tukiachana na mbinu ya ukamataji!

Riport ya polisi ina ukakasi mkubwa juu ya mtuhumiwa Zumaridi!

Kosa walilo utaarifu Umma kwamba anasafilisha BINADAMU 149, kosa hilo Linatia aibu nyingine!

Hivi tangu lini watu wanaokusanyika kusali pamoja imekuwa kosa la jinai?

Mbona jumuiya na taasisi kibao tunawaona wanakusanyika na kukesha na haijawahi kutajwa kuwa ni kosa?

Zumalidi kasafirisha binadamu kutoka wapi kwenda wapi kwa lengo gani? Kuna jinai gani pale?

Hapo taifa juzi wakatoliki walikusanyika mbona haikutamkwa kuwa ni usafirishaji wa binadamu?

Kina mwingira na wachungaji kibao Tanzania kila kutwa wanakusanya watu na haisemwi ni usafirishaji,

INAKUWAJE JAMBO LILE LILE LIWE HALALI KWA MWAMPOSA LAKINI LIWE HARAMU KWA ZUMARIDI?

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Nawashauri TAKUKURU WAINGILIE KATI!
Haiwezekani sheria zipo wazi, kwanini zisingefuatwa kama kweli ZUMALIDI anamakosa makubwa hivyo!

Mimi kwa utashi wangu nahisi sakata la Zumaridi lina maslahi binafisi!

TUKIRUHUSU HAYA YA UKIUKWAJI WA SHERIA HAKUNA ATAKAYEBAKI SALAMA!

Itakuwa mtu akikosana na polisi wanakuja kuluka ukuta! Na majambazi nao watatumia mwanya huohuo kufanya uharifu!

Updates
ZUMARIDI Aiambia mahakama kwamba wakati polisi walipovamia nyumbani kwake walimpiga na kuchukua pesa kiasi cha 19milioni alizokuwa Nazo kama sadaka
Ruto anatoa mfano namna ya kushughulika na polisi wanaokiuka PGO
 
Wewe unachuki na serikali siyo bure,na inaonekana wewe Ni mfuasi wake na mnufaika wa vitendo haramu vilivyokuwa vinafanywa na huyo mama,una uhakika gani POLISI wakati wanapenda kukamatwa hawakuwa na viongozi wa serikali Kama unaowasema?
We jamaa huwajui police wabongo,sometimes ni bora kukaa kimya kwa usilolijua.
 
Sheria ipi?

Hawa wapuuzi wakamatwe maana wanawafanya watu kuwa wajinga wazembe na wapumbavu... She deserved hiyo treatment kuharibu watoto wa watu si sawa

Ahukumiwe iwe fundisho kwa matapeli wa mfano wake
Amewaharibu vipi watoto wa watu?
Dini ni maamuzi ya mtu hawajalazimishwa...wanaoenda ndo wana matatizo, na waendelee kupigwa
 
Nyie chekeni tu lakini akija kamatwa kiongozi wa kisiasa kwa style ileile mtakuja kunielewa!

Hatukatai makosa! Lakini sheria zinafuatwa? Makosa wanayotuhumiwa na makosa ya Jinai kweli au ya kupikwa?

AIBU TUNAIPATA MAHAKAMANI
AIBU NDO KAMA HIYO SASA IMEANZA KUJITOKEZA! TUNACHAFUKA WOTE KWA MAKOSA YA WAZEMBE WACHACHE
 
Mhalifu hawi mhalifu hadi pale itakapothibitika!

Sakata la mfalme Zumaridi (Kiongozi wa kanisa la Zumaridi huko Mwanza) Linaacha midomo wazi kwa wapenda haki na utii wa sheria!
dmkali, haya maswali ni kwa ajili ya ufahamu tu:
1. Hivi mfalme wenu ana breed?
2. Kanisa lenu limesajiliwa?
 
HIVI YULE MICHAEL
Capture.PNG

JACKSON ALIYEFUFULIWA YUPO WAPI? 😂 😂
 
kwa kitendo cha kuwatuma wale sijui ni mazombi sijui mare nini! alitaja pale kwenye clip lazima mambo yangemchachia tu maana serikali ingeonekana imedharaulika..
Hao zombi ndio hawa unao wajibu
Laiti ningelikuwa mkuu wa mkoa au wilaya kule mwanza, akyanani hawa zombie wangenitambua.
 
MIMI KINACHONISIKITISHA, EX WANGU NDIO MUNGU WAO, MFALME WAO.
 
Wewe unachuki na serikali siyo bure,na inaonekana wewe Ni mfuasi wake na mnufaika wa vitendo haramu vilivyokuwa vinafanywa na huyo mama,una uhakika gani POLISI wakati wanapenda kukamatwa hawakuwa na viongozi wa serikali Kama unaowasema?
KAMA MUNGU WAO KAKAMATWA, SIO RAHIS KUIPENDA SERIKALI
 
Walimkamata ili kujisafisha na uharamia wa kuruka ukuta!
Lakini yule mama hakustahili hata kupigwa kipande cha Kofi!
Yule mama hana tofauti na Mwamposa anaewauzia mafuta ya nazi
KWA HAKIKA HAKUSTAILI HATA KOFI,NI MTENDA MIUJIZA.
KUGEUZA MTU MZIMA KUWA ZOMBI SIO KITU CHA MCHEZO KINA MWAMPOSA HAWAWEZI HII
 
Sawa kabisa kama ni hivyo serikali ichukue hatua kwa wote... Huyu dada Hana tofauti na Mwamposa kuna watu wanalala na kuamka Kawe mbona Mwamposa hashikwi?ndio kwanza anasindikizwa na escort ya police... Tanzania ni moja na binadamu wote sawa... wafungie makanisa yote tujue moja
MWAMPOSA NI MTUME , ZUMARIDI NI MUNGU.
 
Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    87.2 KB · Views: 4
Back
Top Bottom